Jana nimekula kitimoto bila kujua!

Jana nimekula kitimoto bila kujua!

Nilikaribishwa na rafiki yangu kwenye sherehe ya miaka10 ya ndoa.
Mwandazi hakujua km situmii na mwenyeji wangu alitoka
Kwa vile ilkuwa usiku nikala.
NB.Najihisi kichefuchefu kula haram.
usichukue muda mwingi kujihukumu unaweza kukuta unapoteza urafiki kwa kitu usichoweza kubadilisha na inawezekana kilitokea bila kukusudia jisamehe halafu wakati mwingine uwe makini.
vinginevyo kwa sisi tunaotumia haisumbui kabisa.
 
Nilikaribishwa na rafiki yangu kwenye sherehe ya miaka10 ya ndoa.
Mwandazi hakujua km situmii na mwenyeji wangu alitoka
Kwa vile ilkuwa usiku nikala.
NB.Najihisi kichefuchefu kula haram.
Ile ni tamu zaidi ya nyama zote, umeona eeh?
 
Mkuu mi siko km unavyonifikiria sijisikii kula kabisa sina mud
acha uongo
mara ulikuwa kwenye sherehe ya miaka 10 ya ndoa sasa MWANDAZI akaandaa (yaani uko Bara ba bia kibao usisikie harufu ya pombe na moshi wa kitimoto mpaka mwandazi anawaletea na mwenzako anaondoka kwanini usione aibu sherehe si yako ni rafiki yako kaalikwa
basi endelea na castle
 
Je ulipata jibu la mshangao wako? Maana hapo kwenye ULAINI ndipo penye ulimbo wa hiyo nyama. Nina hakika asilimia 65 utaenda kwa Mama Kamche kutafuta huo ulaini kwa mara nyingine. Pole sana mkuu.
Duuh Mama kamche chimbo hatari hilo aixee nimepamiss na kitu cha mbege.
 
Hii kitu achana nayo kabisa, namuona mleta mada alivyokuwa anajilamba...
20170930_200058~2.jpg
 
Nilikaribishwa na rafiki yangu kwenye sherehe ya miaka10 ya ndoa.
Mwandazi hakujua km situmii na mwenyeji wangu alitoka
Kwa vile ilkuwa usiku nikala.
NB.Najihisi kichefuchefu kula haram.
Sasa baada yakula au asubuhi
 
usichukue muda mwingi kujihukumu unaweza kukuta unapoteza urafiki kwa kitu usichoweza kubadilisha na inawezekana kilitokea bila kukusudia jisamehe halafu wakati mwingine uwe makini.
vinginevyo kwa sisi tunaotumia haisumbui kabisa.
''vinginevyo kwa sisi tunaotumia haisumbui kabisa''
 
Nilikaribishwa na rafiki yangu kwenye sherehe ya miaka10 ya ndoa.
Mwandazi hakujua km situmii na mwenyeji wangu alitoka
Kwa vile ilkuwa usiku nikala.
NB.Najihisi kichefuchefu kula haram.
Kama wewe ni mwislam kama umekula bila ya kujua basi hujafanya kosa lolote...,sifikiii kama kula nguruwe inatia kichefuchefu labda inawezekana ulivimbiwa,ulifakamia sana,uroho ulikuzidi....
 
Nilikaribishwa na rafiki yangu kwenye sherehe ya miaka10 ya ndoa.
Mwandazi hakujua km situmii na mwenyeji wangu alitoka
Kwa vile ilkuwa usiku nikala.
NB.Najihisi kichefuchefu kula haram.
DAH MKUU POLE SANA
 
Pole sana mkuu, next time kuwa makini sana na hiki kiumbe! Na usithubutu kwenda mabar na sehemu ambazo zimeharamishwa,. Hata kama umealikwa usiende!
 
Back
Top Bottom