Jana ilikuwa Hatari mademu kama wote

Jana ilikuwa Hatari mademu kama wote

W aliwahi kunambia bora tungekutana nje ya JF, sasa cjui wa nje wanatoka jehanamu na wa JF wanatoka mbinguni 😂

Sasa ww siku ya kushangazwa hutoamini 😂
Labda aliogopa mkizinguana utakuja anika hapa kipapa, maana hamchelewi nyinyi😅
 
Kweli ulidata jamaa yangu! Umekosa kabisa wa kufanana naye mwingine humu?😆
C ndo mpaka chemistry zioane, kwanza mm mwnyw sio mtu wa kujipandisha, ntampata wapi 😂
 
Back
Top Bottom