MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,700
- 71,119
- Thread starter
- #41
Nimejifunza mkuu, ila nimeamua kuwa vegetarianWazungu wanapoweka three course meal na soup ni starter si wajinga

Tusibiri leo sijui atatupia clip gani, napenda sana majunguCheusi Mangala ametaradadi sana week hii
lipa kwanza kodi, huoni unawanyonya wanaolipa kodi ?? Hizo ni laana za walipa kodi zinakuandamaHabari wakuu,
Jana baada ya kazi zangu nilirudi nyumbani, sikuwa nimekula toka asubuhi kwa hiyo kwa sababu ilikuwa ni muda wa mchana nikaletewa chakula cha mchana, ugali, nyama ya kuchoma na mchicha, nikaanza kula, kwa kuwa nilikuwa na njaa sana, nikawa nakula kwa kasi, nikajikuta nimemeza nyama ambayo sijaitafuna vizuri, kwa hiyo haikukatika vizuri, hivyo nusu ikatangulia kwenye koo nyingine ikabaki kwenye mdomo, sasa kazi ikawa niimeze nyama ya mdomoni au niirudishe ya kwenye koo irudi mdomoni ili nitafune vizuri halafu nimeze upya, hapo ndiyo ilikuwa kazi, aisee kile kipande cha nyama niliyokuwa nimemeza kikaenda kuziba kwenye njia ya hewa, weeeee hapo mbona nilijamba, nikakimbilia bafuni wacha nihangaike, bahati nzuri baada ya kuingiza vidole kwenye koo nikaitapika nyama yote, hamu yote ya kula iliishia hapo, sitaki tena kusikia habari za nyama.
Kuna kitu nimejifunza tutaongea kwenye mjadala
Mkuu mimi ni mlipa kodi mzuri sana, hilo ni jina tu, kuna wengine wanaitwa pombe lakini sio wanywajilipa kwanza kodi, huoni unawanyonya wanaolipa kodi ?? Hizo ni laana za walipa kodi zinakuandama
Habari wakuu,
Jana baada ya kazi zangu nilirudi nyumbani, sikuwa nimekula toka asubuhi kwa hiyo kwa sababu ilikuwa ni muda wa mchana nikaletewa chakula cha mchana, ugali, nyama ya kuchoma na mchicha, nikaanza kula, kwa kuwa nilikuwa na njaa sana, nikawa nakula kwa kasi, nikajikuta nimemeza nyama ambayo sijaitafuna vizuri, kwa hiyo haikukatika vizuri, hivyo nusu ikatangulia kwenye koo nyingine ikabaki kwenye mdomo, sasa kazi ikawa niimeze nyama ya mdomoni au niirudishe ya kwenye koo irudi mdomoni ili nitafune vizuri halafu nimeze upya, hapo ndiyo ilikuwa kazi, aisee kile kipande cha nyama niliyokuwa nimemeza kikaenda kuziba kwenye njia ya hewa, weeeee hapo mbona nilijamba, nikakimbilia bafuni wacha nihangaike, bahati nzuri baada ya kuingiza vidole kwenye koo nikaitapika nyama yote, hamu yote ya kula iliishia hapo, sitaki tena kusikia habari za nyama.
Kuna kitu nimejifunza tutaongea kwenye mjadala
Tusibiri leo sijui atatupia clip gani, napenda sana majungu
Ndiyo maana nipo masikini kumbe hiyo ndiyo sababuMajungu ni dalili kubwa ya 1 ya umaskin ..hahaja humuon Bashite amekaa kimya jamam??matajiri haiwahusu...sisi sasa dah
hata kama mkuu, but pole sana mkuuNjaa mkuu, usicheze na njaa
Mkuu ilikuwa nyama ya ng'ombeMlishakatazwaga nguruwe na mizoga yake mnajifanya hayawani
Asante mkuuhata kama mkuu, but pole sana mkuu
Habari wakuu,
Jana baada ya kazi zangu nilirudi nyumbani, sikuwa nimekula toka asubuhi kwa hiyo kwa sababu ilikuwa ni muda wa mchana nikaletewa chakula cha mchana, ugali, nyama ya kuchoma na mchicha, nikaanza kula, kwa kuwa nilikuwa na njaa sana, nikawa nakula kwa kasi, nikajikuta nimemeza nyama ambayo sijaitafuna vizuri, kwa hiyo haikukatika vizuri, hivyo nusu ikatangulia kwenye koo nyingine ikabaki kwenye mdomo, sasa kazi ikawa niimeze nyama ya mdomoni au niirudishe ya kwenye koo irudi mdomoni ili nitafune vizuri halafu nimeze upya, hapo ndiyo ilikuwa kazi, aisee kile kipande cha nyama niliyokuwa nimemeza kikaenda kuziba kwenye njia ya hewa, weeeee hapo mbona nilijamba, nikakimbilia bafuni wacha nihangaike, bahati nzuri baada ya kuingiza vidole kwenye koo nikaitapika nyama yote, hamu yote ya kula iliishia hapo, sitaki tena kusikia habari za nyama.
Kuna kitu nimejifunza tutaongea kwenye mjadala
Mwenzako kanda ya ziwa alinunua kitimoto akawanyima wenzake ambao ndiyo waliomuokoa kwa kumpiga magumi mgongoni baada ya ile nyama kumkwama.Habari wakuu,
Jana baada ya kazi zangu nilirudi nyumbani, sikuwa nimekula toka asubuhi kwa hiyo kwa sababu ilikuwa ni muda wa mchana nikaletewa chakula cha mchana, ugali, nyama ya kuchoma na mchicha, nikaanza kula, kwa kuwa nilikuwa na njaa sana, nikawa nakula kwa kasi, nikajikuta nimemeza nyama ambayo sijaitafuna vizuri, kwa hiyo haikukatika vizuri, hivyo nusu ikatangulia kwenye koo nyingine ikabaki kwenye mdomo, sasa kazi ikawa niimeze nyama ya mdomoni au niirudishe ya kwenye koo irudi mdomoni ili nitafune vizuri halafu nimeze upya, hapo ndiyo ilikuwa kazi, aisee kile kipande cha nyama niliyokuwa nimemeza kikaenda kuziba kwenye njia ya hewa, weeeee hapo mbona nilijamba, nikakimbilia bafuni wacha nihangaike, bahati nzuri baada ya kuingiza vidole kwenye koo nikaitapika nyama yote, hamu yote ya kula iliishia hapo, sitaki tena kusikia habari za nyama.
Kuna kitu nimejifunza tutaongea kwenye mjadala
😅😆😅😆😅😆😅😆Mwenzako kanda ya ziwa alinunua kitimoto akawanyima wenzake ambao ndiyo waliomuokoa kwa kumpiga magumi mgongoni baada ya ile nyama kumkwama.
Magumi! Mengine walizidisha kwa kumsurubu kwa tabia yake ya uchoyo.
Wakubwa tunajua kuwa ulikuwa unafanya bajeti maisha magumu sasa mzuka wa kula ukawa upo juu hadi kutafuna ukawa unaona ni kupoteza muda.Habari wakuu,
Jana baada ya kazi zangu nilirudi nyumbani, sikuwa nimekula toka asubuhi kwa hiyo kwa sababu ilikuwa ni muda wa mchana nikaletewa chakula cha mchana, ugali, nyama ya kuchoma na mchicha, nikaanza kula, kwa kuwa nilikuwa na njaa sana, nikawa nakula kwa kasi, nikajikuta nimemeza nyama ambayo sijaitafuna vizuri, kwa hiyo haikukatika vizuri, hivyo nusu ikatangulia kwenye koo nyingine ikabaki kwenye mdomo, sasa kazi ikawa niimeze nyama ya mdomoni au niirudishe ya kwenye koo irudi mdomoni ili nitafune vizuri halafu nimeze upya, hapo ndiyo ilikuwa kazi, aisee kile kipande cha nyama niliyokuwa nimemeza kikaenda kuziba kwenye njia ya hewa, weeeee hapo mbona nilijamba, nikakimbilia bafuni wacha nihangaike, bahati nzuri baada ya kuingiza vidole kwenye koo nikaitapika nyama yote, hamu yote ya kula iliishia hapo, sitaki tena kusikia habari za nyama.
Kuna kitu nimejifunza tutaongea kwenye mjadala
Njaa mkuuWakubwa tunajua kuwa ulikuwa unafanya bajeti maisha magumu sasa mzuka wa kula ukawa upo juu hadi kutafuna ukawa unaona ni kupoteza muda.