Jana ilibaki kidogo nipoteze maisha

Jana ilibaki kidogo nipoteze maisha

Kula kwa heshima tulifundishwa toka zamani kama una njaa anza japo kunywa mchuzi tu alafu unaanza kupigilia tonge au vijiko vya msosi taratibu.Nyama inatafunwa kwanza sasa unakula na kumeza kama dogi...haha pole ungekufa kwa aibu
Hahaha
 
Hilo ni funzo langu langu la pili, kukatakata nyama vipande vidogovidogo
Pole kwa mkasa. Hili wala mimi sikucheki. Limewahi kunipata na bahati mbaya sana nilikuwa peke yangu ndani. Ila kwa muujiza wa Mungu nilisalimika. Nina uhakika kwa maisha yetu ya Afrika karibu kila mtu hukumbana na hali kama hii angalau mara moja katika maisha yake. Hii nadhani ni kwa sababu ya asili ya vyakula vyetu vingi ni vigumu wakti wazungu mara nyingi vyakula vyao ni vilaini. Hata nyama wanapika mpaka inalainika sana wakati waafrika wengi ukiwapa nyama laini sana hawataki. BTW wengi hawajui kutoa huduma ya kwanza kwa mtu wa aina hiyo. Nimeweka links mbili kwa ajili ya wale ambao hawajui. Moja ni clip fupi na nyingine ina maelezo ya kina, hatua kwa hatua.

2: MAELEZO YA KINA
 
Uiletewa chakula na nani mkuu tuanzie hapo ,alikwa wapi aliyekuletea chakula wakati unahngaika... ila kujamba kulikusaidia mkuu
 
Wife mkuu, alikuwa anaendelea na mapishi kwa ajili ya watoto
 
Pole kwa mkasa. Hili wala mimi sikucheki. Limewahi kunipata na bahati mbaya sana nilikuwa peke yangu ndani. Ila kwa muujiza wa Mungu nilisalimika. Nina uhakika kwa maisha yetu ya Afrika karibu kila mtu hukumbana na hali kama hii angalau mara moja katika maisha yake. Hii nadhani ni kwa sababu ya asili ya vyakula vyetu vingi ni vigumu wakti wazungu mara nyingi vyakula vyao ni vilaini. Hata nyama wanapika mpaka inalainika sana wakati waafrika wengi ukiwapa nyama laini sana hawataki. BTW wengi hawajui kutoa huduma ya kwanza kwa mtu wa aina hiyo. Nimeweka links mbili kwa ajili ya wale ambao hawajui. Moja ni clip fupi na nyingine ina maelezo ya kina, hatua kwa hatua.

2: MAELEZO YA KINA

Tunashukuru kwa elimu hii mkuu
 
Habari wakuu,

Jana baada ya kazi zangu nilirudi nyumbani, sikuwa nimekula toka asubuhi kwa hiyo kwa sababu ilikuwa ni muda wa mchana nikaletewa chakula cha mchana, ugali, nyama ya kuchoma na mchicha, nikaanza kula, kwa kuwa nilikuwa na njaa sana, nikawa nakula kwa kasi, nikajikuta nimemeza nyama ambayo sijaitafuna vizuri, kwa hiyo haikukatika vizuri, hivyo nusu ikatangulia kwenye koo nyingine ikabaki kwenye mdomo, sasa kazi ikawa niimeze nyama ya mdomoni au niirudishe ya kwenye koo irudi mdomoni ili nitafune vizuri halafu nimeze upya, hapo ndiyo ilikuwa kazi, aisee kile kipande cha nyama niliyokuwa nimemeza kikaenda kuziba kwenye njia ya hewa, weeeee hapo mbona nilijamba, nikakimbilia bafuni wacha nihangaike, bahati nzuri baada ya kuingiza vidole kwenye koo nikaitapika nyama yote, hamu yote ya kula iliishia hapo, sitaki tena kusikia habari za nyama.

Kuna kitu nimejifunza tutaongea kwenye mjadala
Acha kukwepa kodi,umeona laana
 
Utakuwa una Waraka sio bure
 
Pole sana mkuu.
Hio ilishawai kunitolea tena sio mara moja.
Nilinigwa na nyama nikashindwa kabisa kupumua unaweza kuona siku zako ndio zimeishia pale.
 
Mwenzako kanda ya ziwa alinunua kitimoto akawanyima wenzake ambao ndiyo waliomuokoa kwa kumpiga magumi mgongoni baada ya ile nyama kumkwama.
Magumi! Mengine walizidisha kwa kumsurubu kwa tabia yake ya uchoyo.
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
👇
Takwimu zinaonesha kila Mtanzania anatakiwa kula nyama kilo 50 kwa mwaka, lakini Watanzania ni wavivu kula nyama ndiyo maana takwimu zinaonesha kila Mtazania anakula kilo 15 kwa mwaka
 
Back
Top Bottom