Jana ilibaki kidogo nipoteze maisha

Jana ilibaki kidogo nipoteze maisha

Nyama haina adabu mazei! Mimi kwa mfano, siwezi kabisa kula haraka haraka hata iwe vipi, kiasi kwamba kama nipo na demu tunakula, huwa najisikia vibaya sana kwa sababu kuna 90% chance ataanza kumaliza yeye wakati mimi ndo kwanza nipo nusu!

Lakini pamoja na yote hayo, hayo mabalaa huwa yananikuta sana, huku yakichangiwa na tabia yangu ya kumtaka muuza bucha akishapima nyama, aikate kate kabisa nami naenda kuipeleka jikoni hivyo hivyo! Matokeo yake, baadhi ya mapande yanakuwa makubwa!!
 
URAFI
 
Kitaalam inaitwa "choking" hiyo. Inatokea sana na huua watu. Inatokea hasa kwa chakula kama ugali ambacho unaweza kumeza bila kutafuna. Tonge likikosea njia yake na likaziba njia ya hewa na kukawa hakuna mtu wa kukusaidia kulitoa, unakufa kwa kukosa hewa. Sababu nyingine ni kula bila ya ku-concentrate kwenye chakula km vile mtu anayekula huku akiangalia TV. Ukiwa na mtu anayejua kutoa huduma ya kwanza ni rahisi lakini kama hajui na badala ya kutoa huduma ya kwanza akaanza kulia oh... baba nanihii umekuwaje, mbona unaniacha na watoto... basi dakika 3 nyingi, utakuwa umekata roho. Bahati yako ni kile kipande kilichokuwa kimebaki mdomoni. Ulikitumia hicho kuivuta nyama yote nje.
Habari wakuu,

Jana baada ya kazi zangu nilirudi nyumbani, sikuwa nimekula toka asubuhi kwa hiyo kwa sababu ilikuwa ni muda wa mchana nikaletewa chakula cha mchana, ugali, nyama ya kuchoma na mchicha, nikaanza kula, kwa kuwa nilikuwa na njaa sana, nikawa nakula kwa kasi, nikajikuta nimemeza nyama ambayo sijaitafuna vizuri, kwa hiyo haikukatika vizuri, hivyo nusu ikatangulia kwenye koo nyingine ikabaki kwenye mdomo, sasa kazi ikawa niimeze nyama ya mdomoni au niirudishe ya kwenye koo irudi mdomoni ili nitafune vizuri halafu nimeze upya, hapo ndiyo ilikuwa kazi, aisee kile kipande cha nyama niliyokuwa nimemeza kikaenda kuziba kwenye njia ya hewa, weeeee hapo mbona nilijamba, nikakimbilia bafuni wacha nihangaike, bahati nzuri baada ya kuingiza vidole kwenye koo nikaitapika nyama yote, hamu yote ya kula iliishia hapo, sitaki tena kusikia habari za nyama.

Kuna kitu nimejifunza tutaongea kwenye mjadala
 
Pole sana mkuu.
 
pole saaana. hii kitu ilinikuta nikiwa mdogo 6-7 yrs nyama ilikuwa na futa futa nikaona nimeze tu ikakwama. nusu ndani nusu nje hadi machozi yakawa yananitoka uzuri mama hakuwa mbali akanipiga ngumi moja mgongoni nikatema. siwezi sahau hadi leo nyama ikiwa haitafuniki ni heri niteme tu
 
Back
Top Bottom