Jana ilibaki kidogo nipoteze maisha

Jana ilibaki kidogo nipoteze maisha

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2015
Posts
28,700
Reaction score
71,119
Habari wakuu,

Jana baada ya kazi zangu nilirudi nyumbani, sikuwa nimekula toka asubuhi kwa hiyo kwa sababu ilikuwa ni muda wa mchana nikaletewa chakula cha mchana, ugali, nyama ya kuchoma na mchicha, nikaanza kula, kwa kuwa nilikuwa na njaa sana, nikawa nakula kwa kasi, nikajikuta nimemeza nyama ambayo sijaitafuna vizuri, kwa hiyo haikukatika vizuri, hivyo nusu ikatangulia kwenye koo nyingine ikabaki kwenye mdomo, sasa kazi ikawa niimeze nyama ya mdomoni au niirudishe ya kwenye koo irudi mdomoni ili nitafune vizuri halafu nimeze upya, hapo ndiyo ilikuwa kazi, aisee kile kipande cha nyama niliyokuwa nimemeza kikaenda kuziba kwenye njia ya hewa, weeeee hapo mbona nilijamba, nikakimbilia bafuni wacha nihangaike, bahati nzuri baada ya kuingiza vidole kwenye koo nikaitapika nyama yote, hamu yote ya kula iliishia hapo, sitaki tena kusikia habari za nyama.

Kuna kitu nimejifunza tutaongea kwenye mjadala
 
shida sio nyama shida ni njaa yako na uroho wako. tujifunze kukubali makosa yetu acha kusingizia nyama.
 
Habari wakuu,

Jana baada ya kazi zangu nilirudi nyumbani, sikuwa nimekula toka asubuhi kwa hiyo kwa sababu ilikuwa ni muda wa mchana nikaletewa chakula cha mchana, ugali, nyama ya kuchoma na mchicha, nikaanza kula, kwa kuwa nilikuwa na njaa sana, nikawa nakula kwa kasi, nikajikuta nimemeza nyama ambayo sijaitafuna vizuri, kwa hiyo haikukatika vizuri, hivyo nusu ikatangulia kwenye koo nyingine ikabaki kwenye mdomo, sasa kazi ikawa niimeze nyama ya mdomoni au niirudishe ya kwenye koo irudi mdomoni ili nitafune vizuri halafu nimeze upya, hapo ndiyo ilikuwa kazi, aisee kile kipande cha nyama niliyokuwa nimemeza kikaenda kuziba kwenye njia ya hewa, weeeee hapo mbona nilijamba, nikakimbilia bafuni wacha nihangaike, bahati nzuri baada ya kuingiza vidole kwenye koo nikaitapika nyama yote, hamu yote ya kula iliishia hapo, sitaki tena kusikia habari za nyama.

Kuna kitu nimejifunza tutaongea kwenye mjadala
Yaani ulijifanya kuwa ni chatu kumeza nyama bila kutafuna[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kula kwa heshima tulifundishwa toka zamani kama una njaa anza japo kunywa mchuzi tu alafu unaanza kupigilia tonge au vijiko vya msosi taratibu.Nyama inatafunwa kwanza sasa unakula na kumeza kama dogi...haha pole ungekufa kwa aibu
Hili ni funzo langu namba moja, kunywa supu kwanza, au uji, juice etc
 
Back
Top Bottom