MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,700
- 71,119
- Thread starter
- #61
Tunatembea nacho mkuuAiseeeeee........
Ama kweli kifo kipo karibu
Tunatembea nacho mkuuAiseeeeee........
Ama kweli kifo kipo karibu
Sio kweli mkuuTatizo lako ni ukwepaji wa kodi
Mimi naijua njaa mzee pole -wengi wanaongea tu
[/QUOTE
Asikwambie mtu sawa na kiu!
Asante mkuuWrite your reply...Pole sana.Hii ni hatari.
Lipa kodi kwa wakati na kamwe hautapaliwa tenaSio kweli mkuu
Mkuu omba yasikukuteLipa kodi kwa wakati na kamwe hautapaliwa tena
Kumbe tambi haziwezi kumpalia mtuulikuwa unameza tu ulijuwa ni tambi?
Hilo ni funzo langu langu la pili, kukatakata nyama vipande vidogovidogoNyama haina adabu mazei! Mimi kwa mfano, siwezi kabisa kula haraka haraka hata iwe vipi, kiasi kwamba kama nipo na demu tunakula, huwa najisikia vibaya sana kwa sababu kuna 90% chance ataanza kumaliza yeye wakati mimi ndo kwanza nipo nusu!
Lakini pamoja na yote hayo, hayo mabalaa huwa yananikuta sana, huku yakichangiwa na tabia yangu ya kumtaka muuza bucha akishapima nyama, aikate kate kabisa nami naenda kuipeleka jikoni hivyo hivyo! Matokeo yake, baadhi ya mapande yanakuwa makubwa!!
😂😂🤣🤣🤣🤣🤣 alijikuta Tom Python shenzi type. Ulafi sio mzuri nakumbuka ilintokea Mgahawani hio mi ilikuwa mwiba wa samaki ilikuwa kidogo niaibike. Nikazungusha mate ukatoka ilikuwa hatari macho yalintoka zaidi ya fundi saa. Sikutafuna mwiba vizuri.Yaani ulijifanya kuwa ni chatu kumeza nyama bila kutafuna[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yeah nyama za aina hio ni zile zenye uroto kama za magotini. ziko kama rubber huwa hazikatiki ila zinachambuka tu mpaka utafune kwa muda mrefu sana. Sasa mtu ule uvivu unaona ulimeze tu ndio likikwama inakuwa balaa.pole saaana. hii kitu ilinikuta nikiwa mdogo 6-7 yrs nyama ilikuwa na futa futa nikaona nimeze tu ikakwama. nusu ndani nusu nje hadi machozi yakawa yananitoka uzuri mama hakuwa mbali akanipiga ngumi moja mgongoni nikatema. siwezi sahau hadi leo nyama ikiwa haitafuniki ni heri niteme tu
Yeah nyama za aina hio ni zile zenye uroto kama za magotini. ziko kama rubber huwa hazikatiki ila zinachambuka tu mpaka utafune kwa muda mrefu sana. Sasa mtu ule uvivu unaona ulimeze tu ndio likikwama inakuwa balaa.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mtu anakushushia nakoz za kibaharia kabisa ili ukome hahhahah ningecheka kinomaMwenzako kanda ya ziwa alinunua kitimoto akawanyima wenzake ambao ndiyo waliomuokoa kwa kumpiga magumi mgongoni baada ya ile nyama kumkwama.
Magumi! Mengine walizidisha kwa kumsurubu kwa tabia yake ya uchoyo.
Sawa kabisa kama ulikuwepo, zile nyama zimechanganyika na dizaini kama rababendiYeah nyama za aina hio ni zile zenye uroto kama za magotini. ziko kama rubber huwa hazikatiki ila zinachambuka tu mpaka utafune kwa muda mrefu sana. Sasa mtu ule uvivu unaona ulimeze tu ndio likikwama inakuwa balaa.
Hilo ni funzo langu la tatuYeah nyama za aina hio ni zile zenye uroto kama za magotini. ziko kama rubber huwa hazikatiki ila zinachambuka tu mpaka utafune kwa muda mrefu sana. Sasa mtu ule uvivu unaona ulimeze tu ndio likikwama inakuwa balaa.
Mara ya pili hii naona unaandika neno "URAFI"! Hiyo "urafi" ndo mdudu gani Chifu?!URAFI