Jamila Omary anusurika kifo, ni kwenye ajali ya msafara wa Kinana akiwa Ngorongoro

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
Mwandishi Wa Chanel 10 kutoka Arusha amenusurika kufa baada ya kupata ajali mbaya iliyohusisha gari la Catherine Magige aliyepata jeraha kichwani huku Jamila Omary akivunjika mkono Mara tatu na mbavu moja.

Cha kushangaza ni kwamba CCM wanatumia nguvu kubwa kuhakikisha taarifa hizi hazitangazwi kwani hata waandishi waliokuwepo kwenye tukio wamezuiwa kuizungumzia hata wakipigiwa simu wanajifanya hawajui lolote juu ya ajali hiyo.

Wakazi Wa hapa Ngorongoro wamefuatilia ni mambo ya kishirikina Kwa Siku za karibuni imekuwa desturi CCM kutembea na fisi na waganga Wa kienyeji kuhakikisha wanapata watu kwenye mikutano yao.

IMG-20150315-WA0043.jpg IMG-20150315-WA0042.jpg ==============

Mkuu Crash

Aisee...habari ya kusikitisha sana hii.

Pole sana mpiganaji Jamila. Tumshukuru Mungu kwa kukunusuru katika ajali hiyo.

Mwenyezi Mungu akakufanyie wepesi na kukuafu katika kupata uponaji wa haraka wa maumivu na majeraha uliyoyapata katika ajali hiyo.

Lakini Kwanini CCM huwa wanaminya uhuru wa waandishi wa habari kwa kuwaagiza kipi cha kuandika na kipi cha kuacha au kiandikwe namna gani! Umekuwa ni utamaduni kwenye ziara zote za CCM. Si kitu sahihi hata kidogo.
 
Mwandishi Wa Chanel 10 kutoka Arusha amenusulika kufa baada ya kupata ajali mbaya iliyohusisha gari la Catherine Magige aliyepata jeraha kichwani huku Jamila Omary akivunjika mkono Mara tatu na mbavu moja..
cha kushangaza ni kwamba CCM wanatumia nguvu kubwa kuhakikisha taarifa hizi hazitangazwi kwani hata waandishi waliokuwepo kwenye tukio wamezuiwa kuizungumzia hata wakipigiwa simu wanajifanya hawajui lolote juu ya ajali hiyo wakazi Wa hapa ngorongoro wamefuatilia Ni mambo ya kishirikina Kwa Siku za karibuni imekuwa desturi CCM kutembea na fisi na waganga Wa kienyeji kuhakikisha wanapata watu kwenye mikutano yao..
Mkuu unaamini ushirikina?
 
Hhaha mambo ya fisi yameanza kufanya kazi wameanza kutambikia
 
Wakome wao wanafata nini kwenye misafala ya ccm?....na hawatalipwa hata sent maana ccm ni mabingwa wa kuwatumia watu na kuwatelekeza maslahi yao yakiisha, wengine mjifunze..
 
Mwandishi Wa Chanel 10 kutoka Arusha amenusulika kufa baada ya kupata ajali mbaya iliyohusisha gari la Catherine Magige aliyepata jeraha kichwani huku Jamila Omary akivunjika mkono Mara tatu na mbavu moja..
cha kushangaza ni kwamba CCM wanatumia nguvu kubwa kuhakikisha taarifa hizi hazitangazwi kwani hata waandishi waliokuwepo kwenye tukio wamezuiwa kuizungumzia hata wakipigiwa simu wanajifanya hawajui lolote juu ya ajali hiyo wakazi Wa hapa ngorongoro wamefuatilia Ni mambo ya kishirikina Kwa Siku za karibuni imekuwa desturi CCM kutembea na fisi na waganga Wa kienyeji kuhakikisha wanapata watu kwenye mikutano yao..
Usifanye siasa kwenye majanga kama haya....Poleni mlioumia!
 
Mkuu Crash

Aisee...habari ya kusikitisha sana hii.

Pole sana mpiganaji Jamila. Tumshukuru Mungu kwa kukunusuru katika ajali hiyo.

Mwenyezi Mungu akakufanyie wepesi na kukuafu katika kupata uponaji wa haraka wa maumivu na majeraha uliyoyapata katika ajali hiyo.

Lakini Kwanini CCM huwa wanaminya uhuru wa waandishi wa habari kwa kuwaagiza kipi cha kuandika na kipi cha kuacha au kiandikwe namna gani! Umekuwa ni utamaduni kwenye ziara zote za CCM. Si kitu sahihi hata kidogo.
 
Kwani ni lazima kila taarifa uingize propaganda za kipuuzi? Taarifa ya ajali wewe unaandika kipuuzi puuzi tu
 
Makene tatizo waandishi hawana msimamo wanakubali kutumika wanaacha misingi ya kazi yao kwani wangekuwa na msimamo na nape akajua hilo asingewapangia cha kuandika
 
Back
Top Bottom