S Socw JF-Expert Member Joined Aug 27, 2016 Posts 1,385 Reaction score 2,850 Dec 6, 2025 #81 Imeshaliwa kichwa tena, hii nchi ni ngumu sana
4 4 7mbatizaji JF-Expert Member Joined Dec 8, 2019 Posts 11,515 Reaction score 13,353 Dec 6, 2025 #82 Socw said: Imeshaliwa kichwa tena, hii nchi ni ngumu sana Click to expand... Nchi sio ngumu wanadamu ndo wa hovyo
Socw said: Imeshaliwa kichwa tena, hii nchi ni ngumu sana Click to expand... Nchi sio ngumu wanadamu ndo wa hovyo
N Ninaweza Platinum Member Joined Dec 14, 2010 Posts 14,912 Reaction score 10,619 Dec 6, 2025 #83 Wakusoma 12 said: Sasa bila ya VPN unaweza kuipata ndani ya Tanzania. Angalu sasa ile washa na kuzima VPN ilikuwa inakera, mara uwashe kuingia JF mara uzime kuacess mobile app na app za kibenki. Updates Naona mtandao umezuiliwa tena, mamlaka bado hazisomami. Click to expand... Mwigulu naye alikuwa akiingia care of vipieni.
Wakusoma 12 said: Sasa bila ya VPN unaweza kuipata ndani ya Tanzania. Angalu sasa ile washa na kuzima VPN ilikuwa inakera, mara uwashe kuingia JF mara uzime kuacess mobile app na app za kibenki. Updates Naona mtandao umezuiliwa tena, mamlaka bado hazisomami. Click to expand... Mwigulu naye alikuwa akiingia care of vipieni.