JamiiForums yarudi hewani

Sasa bila ya VPN unaweza kuipata ndani ya Tanzania. Angalu sasa ile washa na kuzima VPN ilikuwa inakera, mara uwashe kuingia JF mara uzime kuacess mobile app na app za kibenki.
Sawa ,endelea kuwasha VPN mkuu maana DORIA wapo sana.

Bora uendelee kusomeka UKRAIN tu.
 
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU

Naona jukwaan kumejazana nyuzi za jf kurudi hewani kitu ambacho ni ajabu kabisa yaan

Jf ilikuwepo kila siku na tuliingia si kwa VPN bali kwa kutumia operamin na ilikuwa ni bure kabisa mchawi bando tu

Kwahiyo karibun sana wadau siku nyingine mjifunze operamin ndo mbabe wa Samia muuwaji

LONDON BOY
 
Kwani mda wa kifungo umeisha? Au serikali imeleta shobo????
 
Uwezo wao wa kufikiria naona ni mdogo..
 
Sasa bila ya VPN unaweza kuipata ndani ya Tanzania. Angalu sasa ile washa na kuzima VPN ilikuwa inakera, mara uwashe kuingia JF mara uzime kuacess mobile app na app za kibenki.
Kuna vpn ambazo ukiwasha umewasha, yani 24 hrs, days, 335½days,
Ni wewe na mb zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…