Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,907
- 30,409
Nipo homie,miss you aisee😅😅
Niko poa upo homie
Nipo homie,miss you aisee😅😅
Niko poa upo homie
Ebu nitag kwenye huo uzi wakoHuku wengi hawazioni kaziweke kwenye uzi wangu utasaidia majobless kibao humu!
Majukumu tu homie ila nipo humu sana sema huu uzi sipitagi sanaNipo homie,miss you aisee
Homie haya matangazo unatoa wapi ?
Najua una majukumu ndio maana uliposema unaomba kazi nikajua unazingua tu homieMajukumu tu homie Majukumu tu ila nipo humu sana sema huu uzi sipitagi sana
Nayatoa kwenye source ya kueleweka,lakini pamoja na hayo umakini wa muombaji ni muhimu pale anapohisi kuna sintofahamu ya namna moja au nyingineHomie haya matangazo unatoa wapi ?
Sio channel za WhatsApp kweli
Angalia watu wasije kutapeliwa
Dah 😅 haya sawaNajua una majukumu ndio maana uliposema unaomba kazi nikajua unazingua tu homie
Pamoja homie
Sawa homie ukishapost weka na angalizo kazi nzuri sanaNayatoa kwenye source ya kueleweka,lakini pamoja na hayo umakini wa muombaji ni muhimu pale anapohisi kuna sintofahamu ya namna moja au nyingine
Ndio ushasema kuwe na angalizo,imeisha hiyo🤣🤣Sawa homie ukishapost weka na angalizo kazi nzuri sana