Aww eti sikuona ujumbe mtamu hivi😍hivi ni baadhi ya vitu vinavyotokea ambavyo huenda hutakuja kujua
1. kuna mtu bado anakumbuka kitu cha muhimu ulichomfanyia hata kama kwako kilikuwa cha kawaida
2.kuna mtu anasoma meseji zako huku akitabasamu
3.kuna mtu amekuwa inspired na maisha yako kimya kimya bila kusema
4. kuna mtu alikutetea kipindi haupo
5. kuna mtu alishawahi kuku kubali sana ila hakusema
6. jina lako limetajwa kwenye maongezi ambayo hutakuja kuyasikia win-one Seran Ertugrul Bey ]
Bado hujanyooka vizuri😎Kwa ili jua linavyowaka na joto naona kabisa motoni sintoweza kusurvive bora niwe mwema tu
Mchana jua linawaka usiku joto linatambaBado hujanyooka vizuri😎