win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 11,401
- 38,626
unapenda vya uchochoroni eeeh😅Usinisimulie jukwaani 😅
Twende chocho kidogo.
unapenda vya uchochoroni eeeh😅Usinisimulie jukwaani 😅
Twende chocho kidogo.
Aisee! Mi ni msiri sana 😅tupo wawili humu we tumalizane hapa hapa maan pm haifunguki 😅😅💃
We unasema kwavile unaye wa kubebika nae?hata hivyo mapenzi ni utapeli achana nayo
ngoj nitajitahidi kama nitawezaAisee! Mi ni msiri sana 😅
Uwe unamfungua pm usiku huu mbovu bhana. Sisi ni pipo ujue 😁
yupi?We unasema kwavile unaye wa kubebika nae?
Hapana, sipendi vya jukwaani 😅unapenda vya uchochoroni eeeh😅
basi kakojoe ulale ndege mdinya 😜Hapana, sipendi vya jukwaani 😅
Fanya hivyo mkuu.ngoj nitajitahidi kama nitaweza
Ngoja nisije ambiwa nafwata mambo ya watu.. Wacha nikomae na kujichukulia sheria mkononi tu... Hakuna namnayupi?
We nizarau tu, haya!basi kakojoe ulale ndege mdinya 😜
utakua umefanya jambo la maana mnoNgoja nisije ambiwa nafwata mambo ya watu.. Wacha nikomae na kujichukulia sheria mkononi tu... Hakuna namna
usinitisheWe nizarau tu, haya!
Jinga sana wewe. Hata haya hunautakua umefanya jambo la maana mno
haya ya nini sasa wakati umeamua mwenyewJinga sana wewe. Hata haya huna
Njoo kule basi,haya ya nini sasa wakati umeamua mwenyew
Ngoja nikojoe tu nilale bibie.usinitishe
byeeeeeeeeeeeeeeeeNgoja nikojoe tu nilale bibie.
kule kuna msalaNjoo kule basi,