MawardatDellapina
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 30,318
- 152,649
Huo mwaka hata ulikuwa haujazaliwašMawardatDellapina njoo nkusimulie kisa kimoja cha kutisha sana kilichotokea miaka ya 90 huko Songea.
Embu nipe pesa uliyoniitia juziš„
Huo mwaka hata ulikuwa haujazaliwašMawardatDellapina njoo nkusimulie kisa kimoja cha kutisha sana kilichotokea miaka ya 90 huko Songea.
Usiku ndio huu unasemaje tukienda kumshuhudia fally wa ipupa luvHuo mwaka hata ulikuwa haujazaliwaš
Embu nipe pesa uliyoniitia juziš„
kailaze00:10
Ndege mdinya yu macho.
Naisubiri connection ya kala kanafunzi škailaze
mi nimeiona ila sijafurahishwa nayo kabisa namuombea mabaya yule mkaka qumanina zakeNaisubiri connection ya kala kanafunzi š
Nitumie nami nione, si unajua sipendelei kumuhukumu mtu kwa maneno ya watu, ehh!mi nimeiona ila sijafurahishwa nayo kabisa namuombea mabaya yule mkaka qumanina zake
hapana siwezi kufanya hivyošŖ am soreeNitumie nami nione, si unajua sipendelei kumuhukumu mtu kwa maneno ya watu, ehh!
Tafadhali fanya hivyo kama unayo. Nashindwa kuelewa kilichotokea š„²hapana siwezi kufanya hivyošŖ am soree
siwezi ndege, siwezi kushare we kama una pasuka naomba upasuke tuTafadhali fanya hivyo kama unayo. Nashindwa kuelewa kilichotokea š„²
Aisee! huo uchoyo umeuanza lini? Fungua pm plizz nije...siwezi ndege, siwezi kushare we kama una pasuka naomba upasuke tu
ngoja niongeze kufuriAisee! huo uchoyo umeuanza lini? Fungua pm plizz nije...
Aisee! kama wewe uliangalia kwa hiari yako, halafu unaninyuma Mimi sawa bhana!ngoja niongeze kufuri
wakati naingalia sikujua kama ni connection aseee nilihisi ni chudai sasa baada ya kudownload ndo nikakutana na vitu vya kiwaki sikufurahia wala niniAisee! kama wewe uliangalia kwa hiari yako, halafu unaninyuma Mimi sawa bhana!