Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,818
- 30,295
Ulinzi ni masaa 24 kuanzia leo,nasimamia show ya mchana mwanzo mwishoLeo mmeanza mapema sana aisee!
Ulinzi ni masaa 24 kuanzia leo,nasimamia show ya mchana mwanzo mwishoLeo mmeanza mapema sana aisee!
Leo mapema sana mzee!1704hrs
Ulinzi umeboreshwa 24hrsLeo mapema sana mzee!
Unataka kutafuna posho zetu sio🤣Ulinzi ni masaa 24 kuanzia leo,nasimamia show ya mchana mwanzo mwisho
Ulipona ??au01 : 50
Alcohol withdrawal will kill me but no turning back
Inategemea sana kama huna sababu ya kukopa walaa!😎Hao ukiwakazia kulipia jina lako linawasilishwa kwa wadaiwa sugu siku ukienda kuomba mkopo benki taarifa zako za utapeli zinaonekana labda utumie line isiyokua na usajili wako kamili
Naona NMB wananitamanisha sana na mshikofastaInategemea sana kama huna sababu ya kukopa walaa!😎
Huu ndio usiku wa manane sasa sio mna comment sa 6 mnatuambia ndio usiku wa manane kuanzia leo comments yoyote kbla ya sa nane naifuta
Unapenda kukopa eehNaona NMB wananitamanisha sana na mshikofasta
Kulipwa mara 12 kwa mwaka unakuchukuliaje bintiUnapenda kukopa eeh
Ni mbaya ila tafuta side husltle uache kujiingiza kwenye madeni..Kulipwa mara 12 kwa mwaka unakuchukuliaje binti
Zamani ilikua ni ngumu degree holder kulala njaa saizi ni jambo la kawaida sanaNi mbaya ila tafuta side husltle uache kujiingiza kwenye madeni..
Tena ujue hauko peke yako! Ishi chini ya kiwango cha mshahara chagua kuridhika tu utaupusha mengi!Zamani ilikua ni ngumu degree holder kulala njaa saizi ni jambo la kawaida sana