win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 10,996
- 37,467
nimerogwa long time ago saivi sina cha kurogewa tenaSasa kama kwenye mistari haupo na muamala haupo,basi wataka kurogwa weye
nimerogwa long time ago saivi sina cha kurogewa tenaSasa kama kwenye mistari haupo na muamala haupo,basi wataka kurogwa weye
zenyewe ndo zinanifata kila mahali ninako kwenda😭😭Duh Helen za miaka 5 nawe shida wazitaka mwenyewe
Hapo sawa nimeelewa why huvutiwi na Mistari wala muamala,kumbe walishachukua kivuli chako long time sananimerogwa long time ago saivi sina cha kurogewa tena
Fanya hivi,mida kama hii usiku nenda nje kisha zitupe huku umefumba macho,hutaziona tena,case closedzenyewe ndo zinanifata kila mahali ninako kwenda😭😭
2234hrs
unadhani ni rahisi hivyo eeeh 😏Fanya hivi,mida kama hii usiku nenda nje kisha zitupe huku umefumba macho,hutaziona tena,case closed
agaaaah😅Hapo sawa nimeelewa why huvutiwi na Mistari wala muamala,kumbe walishachukua kivuli chako long time sana
Basi endelea kuzivaa ziendelee kukuwasha labda ndio starehe yako baby girlunadhani ni rahisi hivyo eeeh 😏
Unataka kujua?mi nitajuaje sasa
kila ulipogusa ulikua unaangukia pua, hebu wadanganye joined yesterday bwanaUnataka kujua?
Hata hivyo jukwaa zima lajua mtaalamu wa mistari ni mimi hakuna mwingine.
Hahahaha,kila ulipogusa ulikua unaangukia pua, hebu wadanganye joined yesterday bwana
mbona hayo maneno haya kukusaidia kuwapata wale walimbwende?Hahahaha,
In my heart ❣️ I knew something was missing
Until you came into my life, your lips are rosy colored
. Your eyes spark a constellation of intimacy no words can explain.
When I sleep, your body engulfs my veins, till I can't stand the idea of real life.
Hapo nimeandika kwa haraka, nikitulia je?
Ni kwasababu sikuwa namaanisha kitu..mbona hayo maneno haya kukusaidia kuwapata wale walimbwende?
kwendraaaaa hayo ni maneno ya mkosaji, ulikataliwa live na mafichoni alf saivi unajidai kuwa ulikua haumaanishi kitu, sisi sio wajinga buanaaNi kwasababu sikuwa namaanisha kitu..
Ila sasa, nahisi kwako yanafaa kabisa.
I'd keep staying in my comfort zone
But your presence burnt me awake
I feared that you'd leave me
Now I know our love is destined
You always thought I was joking
But liloving you is the only real I became.
Now that our story is about to begin,
No one and absolutely no one can take that away from us. ❤️
Hahahaha..kwendraaaaa hayo ni maneno ya mkosaji, ulikataliwa live na mafichoni alf saivi unajidai kuwa ulikua haumaanishi kitu, sisi sio wajinga buanaa
usiniandikie kingreza mi sikifahamu
pole kwa kukataliwa😅😅😭Hahahaha..
Unajua fika kabisa ningesema niwe serious hakuna mtu wa kunikataa.
Mimi sikataliki Win, ni mimi ndiye ni naamua ni nani Namtaka...
Sasa si unaona, mistari imenyooka ila msomaji hayupo? Ngoja basi nitafsiri
Moyoni mwangu ❣️ nilijua kuna kitu kinakosekana.
Hadi ulipoingia maishani mwangu—midomo yako ina rangi ya waridi. Macho yako yanawasha mwanga wa ukaribu wa ndani sana, kiasi kwamba hakuna maneno yanayoweza kuuelezea.
Ninapolala, mwili wako huingia ndani ya mishipa yangu, kiasi kwamba siwezi kuvumilia wazo la maisha ya kawaida.