Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,142
- 103,863
Chukua hii, utanishukuru basdae!Wekeend nipe flavour ya kinywaji kikali nishinde nacho mjengoni
Chukua hii, utanishukuru basdae!Wekeend nipe flavour ya kinywaji kikali nishinde nacho mjengoni
tuna Rudi pale pale tushukuru kwa Kila jambo au cio!?Everything happens for a reason! Usitamani hivyo hujui umeepushwa na mambo mangapi
ulitaka ujifunze nn bi dada? nilitoka kidogo hapa kulikua na changamoto za kuviziwa kupigwa picha kwa tunaosinzia lindoni...Khaa nina muda leo nijifunze
KATAA NDOAIla ndoa........
01:14
polen kwa wafiwa na mlioguswa na msiba huoLovely sis, Mungu akawe mfariji ❤️
Mathayo 5:4 - "Heri wenye huzuni, maana hao watafarijika."
Zaburi 34:18 - "Bwana yu karibu na waliovunjika moyo, Na waliopondeka roho huwaokoa."
My condolences 🫂
Cc: Mtili wandu
Mnapigwa picha na nani?😆ulitaka ujifunze nn bi dada? nilitoka kidogo hapa kulikua na changamoto za kuviziwa kupigwa picha kwa tunaosinzia lindoni...
Miezi mitano tu analia lia,kwani msosi huo!View attachment 3701816
Kwani una changamoto gani?🙄🙄
Anashangaza kijana wa hovyo!!1.49...
Miezi mitano tu analia lia,kwani msosi huo!