Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,295
- 101,003
mie nilikua tayari nina furaha zanguHukufanikiwa kujiunga na wenye furaha?
mie nilikua tayari nina furaha zanguHukufanikiwa kujiunga na wenye furaha?
yaaani humu , mnachekesha sana, kujimwambafai wakati.....Tuwache!😅
Hapo sawamie nilikua tayari nina furaha zangu
mmmh kheri yako wewe ,hongeraChatgpt kila kona ni wewe tu😎
Tumekosea wapi?yaaani humu , mnachekesha sana, kujimwambafai wakati.....
We huna chatgpt?mmmh kheri yako wewe ,hongera
kuna mwana JF anakoseaga?Tumekosea wapi?
sina nisiwe muongoWr huna chatgpt?
Tuweke wazi mkuu, tatizo liko wapi kwa sisi walinzi?kuna mwana JF anakoseaga?
Sawa ukitaka kuzungumza kizungu jaribu kuitumia, ni kutema yai tusina nisiwe muongo
hahahahahaha, mie kidhungu nitajing'ata kwa kweli huu ulimi mzitoSawa ukitaka kuzungumza kizungu jaribu kuitumia, ni kutema yai tu
JF ni GT hivyo kuna vitu hawafanyi kabisa, mko vzrTuweke wazi mkuu, tatizo liko wapi kwa sisi walinzi?
Maandishi yanatusaidia wengi, unaandika tuhahahahahaha, mie kidhungu nitajing'ata kwa kweli huu ulimi mzito
Tuko vizuri kwenye kitu gani hasa? MagT kibao humu tupo kuwasindikiza..JF ni GT hivyo kuna vitu hawafanyi kabisa, mko vzr
kwenye kila kituTuko vizuri kwenye kitu gani hasa? MagT kibao humu tupo kuwasindikiza..
mie hii swahili inatosha, kuonekana na jua kidhungu kumbe ni AI ,siweziMaandishi yanatusaidia wengi, unaandika tu
Haiyaa!kwenye kila kitu
Sawa, wacha sisi tuendelee kufake life🤸🏽♀️mie hii swahili inatosha, kuonekana na jua kidhungu kumbe ni AI ,siwezi