kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 8,192
- 21,862
Pole mkuu ila naamini mambo yatakaa sawa03:09 mke wangu wangu kajifungua ila mtot hajalia 😭😭😭😭
🙏🙏Pole na hongera sana, waombee mkeo pamoja na mtoto kwa imani yako watatoka salama🙂
🙏🙏 Saw kakaPole mkuu ila naamini mambo yatakaa sawa
😆😆04:00
They’re all nervous like a pregnant nun😝
Hakika leo umeliwezea lindoGood mornille!
Mapopo tukalale sasa🥱
Leo usiniache pekeangu 😅Hakika leo umeliwezea lindo
Na hivi ndo wekeend umeanza njoo na donjulio mbili tuLeo usiniache pekeangu 😅
Nakuja nazo babaa😅🤸🏽♂️Na hivi ndo wekeend umeanza njoo na donjulio mbili tu
Leo sasa umepiga usiku wa manane na asubuhi ya manane...umetuwakilisha vyema!!Good mornille!
Mapopo tukalale sasa🥱
Ndio mkuu! Siku mojamoja natawala jukwaa😎Leo sasa umepiga usiku wa manane na asubuhi ya manane...umetuwakilisha vyema!!
Mwenetu rudi tu town usije kufa bure hukohizi za leo zimekua kali sana, yani vibobo viwili tu nahisi kusizi why
tatizo nainjoi kinyamaaa😅😅Mwenetu rudi tu town usije kufa bure huko