nijibu kwanza nilipo kutag ili usiku wangu uwe mwema zaidiUsiku mwema
Muulize chat GPT haongopeagi huyo..subirieni kwanza kabla hamjalala kwani binadam wa kawaida anatakiwa kuwa na magego mangapi? chini na juu dosho12 Ertugrul Bey SanArt
ndo nimetoka kumuuliza kashanijibu senkiyuuuMuulize chat GPT haongopeagi huyo..
Ata categorize kabisa meno na functions zake.
0028Inasikitisha sana
Kumbe umemuva 26 ! Mimi nilidhani wewe ni kijana wa 23 au 24Hakuna mtu wa miaka 30 yanaota magego kawadanganye watoto, mm Nakumbuka mpaka miaka 25 ndo ilikuwa mwishoni yanaota nahisi yalikuwa yana stages unakaa muda then yana zidi kukua ila by 26 or 27 ilikuwa tayari kabisa
Nimeipenda hii comments #HuyoNiWeweMimiNiMimiusiforce tufanane broo,, huyo ni wew na mimi ni mimi
Kumbe bado kijana mdogo kabisa, 2018 ndo unafanya paper ya kidato cha nne?Allaah awafanyie wepesi wadogo zetu wa form 4 Leo wapo katika mitihani ya Taifa .
TBT , Inanikumbusha 2018 nilikuwa na presha sana ya mtihani siku ya kwanza , baada ya hapo nikawa nateleza kama Mr loose Nut akiwa na kipisi Cha bangi . Nikirudi jioni baada ya Pepa nilikuwa nakuja Jf kuRefresh
Nashukuru sana mbunge wetu wa Jimbo la Mbagala wakati huo Mr Ally Mangungu aligharamia chakula kwa form 4 wote wiki zote mpaka tunamaliza mitihani ,tena ulikuwa msosi classic sana unakuja na Magari angetoa pesa upikwe shuleni nahisi tungekula msosi wa ajabu kwa tamaa za kubania hela.
Mm bwandogo sheikhKumbe umemuva 26 ! Mimi nilidhani wewe ni kijana wa 23 au 24
si ndiwo 👌😆Nimeipenda hii comments #HuyoNiWeweMimiNiMimi
Dogo sometimes unashusha nondo za hatarii na kutema madini.Allaah awafanyie wepesi wadogo zetu wa form 4 Leo wapo katika mitihani ya Taifa .