JamiiForums Usiku wa manane

Dah, imeniuma sana. Atakua alijaa kwenye mfumo. Kuna watu ukigombana nao wanakimbilia polisi. Fastaa wanakureport unakula ban.

Mtu akikukera, unamuandikia matusi PM. Vya PM haviendi kwa Mods.
Anakua na umuhimu kiasi hicho mpaka unapoteza muda wako kumuandikia matusi PM?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…