JamiiForums Usiku wa manane

Mpaka wanamshawishi Bu wiyeom kukubali ilikuwa mtiti , vipande vile nilivipenda sana πŸ˜‚

Inaelekea Jumong ulikuwa unaifuatilia kama Mimi sana mpaka Majina ya wahusika na vyeo vyao hukosei kabisa πŸ™ƒ ,
🫠🫠 Nimeangalia nyingi lakini hii ndio imebaki kwenye External mpaka Leo nikimiss kumuangalia mo palmo analia au ile royalty yake kwa general naweka 🀣🀣
Nikimiss Mugol na oyi kupigana na weka, nikimmiss Hae mosu mwenyewe naweka hapa napata Hadi machozi wakati Prime minister ameorganize troops kwenda kummaliza.
General haek chi alikua royal sana kwa His majesty 🀣🀣🀣
 
Nimekumbuka ulivyoeleza tukio la kuuwawa Mugol na kumtaja Mugol kuwa ni Left General hapo nikajua wewe ni Legend wa kazi hii πŸ˜‚

View attachment 3691481
πŸ₯ΉπŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­ Hii scene inanihuzunishaga sana Mugol kamanda haswa unaona iyo sword bado imesimama hapo right general chozi limemtoka jembe lake anakufa huku anacheka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…