mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 24,944
- 81,570
Unaweza ukawa mwanamke na askari bora kwa wakati mmoja.Sio eneo la kazi sasa 🤣🤣
Si tulikubaliana wanawake wanaweza?
Sasa na wewe jikubali, askari mrembo.😊
Unaweza ukawa mwanamke na askari bora kwa wakati mmoja.Sio eneo la kazi sasa 🤣🤣
Huu mtego kamanda The Gworl 🤣🤣Unaweza ukawa mwanamke na askari bora kwa wakati mmoja.
Si tulikubaliana wanawake wanaweza?
Sasa na wewe jikubali, askari mrembo.😊
Ulinzini wote ni jinsia Me lelooo...Unaweza ukawa mwanamke na askari bora kwa wakati mmoja.
Si tulikubaliana wanawake wanaweza?
Sasa na wewe jikubali, askari mrembo.😊
Ushafukuzwa kazi. Haupo kwenye roster ya walinzi.Leo nipoo apa..🤗
Yani anaingia lindoni lakini mate yanamtoka akikuona tu🤣🤣Kijana wetu yupo kwenye malezi huyu
Unaniudhi.Ulinzini wote ni jinsia Me lelooo...
Hamna heshima na protocol huyuYani anaingia lindoni lakini mate yanamtoka akikuona tu🤣🤣
Unaudhikaje ?Unaniudhi.
Kubali kwamba wewe ni kamanda mrembo.Unaudhikaje ?
Observer tuu😅Ushafukuzwa kazi. Haupo kwenye roster ya walinzi.
Endelea kuudhika lelooKubali kwamba wewe ni kamanda mrembo.