JamiiForums Usiku wa manane

Kwetu wakristo, kuoa mwanamke mhafidhina sana wa dini ni hatari. Kipaumbele chake ni mchungaji sio wewe.

Wanawake wa kiislam wahafidhina ni wazuri sana na watiifu.
 
Kwetu wakristo, kuoa mwanamke mhafidhina sana wa dini ni hatari. Kipaumbele chake ni mchungaji sio wewe.

Wanawake wa kiislam wahafidhina ni wazuri sana na watiifu.
Ni kweli kabisa wanawake wakishashikwa kichwa na hao mapastor ni hatar sana,hapo mume huna lolote tena,ni kanisa na yeye na yeye na kanisa
 

Hawajakosea watu walio sema ukipendwa na mwanamke utainjoy​


Baby girl ni mwanafunzi wa Chuo huku homeboy ni mfanyabiashara au mjasiliamali

Pamoja na kwamba baby girl ni mwanafunzi lakini zile hela ambazo anatumiwa kutoka kwao kwa ajili ya gharama zake za Chuo ndio hizo ambazo amekuwa akimpatia jamaa yake aongezee mtaji wa biashara.

Kama haitoshi pesa hizo hizo ndio baby girl kamlipia jamaa chumba,kamnunulia jamaa yake simu

Baby girl Kama haitoshi bado anambless jamaa na mavazi na viatu,hata siku hiyo ambayo ishu ilibumbulika,baby girl akasema mbele ya kamera kwamba "hata hivi viatu alivyo vaa nimemnunulia mimi" akaendelea kusema hata hizi nguo nimemnunulia mimi"

Ila ndio hivyo tena mwenye bahati habahatiki,home boy pamoja na kupata treatment yenye hadhi ya kistaa kutoka kwa baby girl ,aliamua kwenda kutembea na kazini wa baby girl

Nako huko akapewa zawadi ya saa ambayo aliiuza,kumbe hiyo saa ni ya mshua wa baby girl, baby girl akafunguka kwamba hiyo saa ilimletea sana tabu brother wake kutoka kwa mshua,kwasababu mshua alihisi kaka wa baby girl ndio kainyakua ile saa

Kumbe maskini homeboy kahongwa huko nae akaitia sokoni,katika mahojiano yale homeboy alikula makofi kama mawili barabarani kutoka kwa baby girl baada ya.kujua homeboy amekula kazini yake


View: https://youtu.be/sbONZDlsJlA?si=_Hqb5BzYHwQMUii6
Mwisho wa siku homeboy alipokonywa simu na baby girl akawa anaondoka huku homeboy akibembeleza, haikujulikana mwisho wa siku ilikuwaje

Adios!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…