JamiiForums Usiku wa manane

woiii wew ni shemele wangu kwaaa......?

miezi miwili bila kuoga? Yelewi kwani wew ni rasrafala maana hao ndo wanaugomvi na maji😅😅😅
Kwa ndugu yangu dosho12 ...

Hapana Mimi ni Thecoder, huku kwa wamatengo baridi ni Kali sana so huwa hatuogi(sio Mimi tu ila naona hata wenyeji nao hawaogi) so ukienda Roma nawewe inakubidi uwe mroma so Mimi na wenyeji wangu tumefikia hapo😂😂
 
hiyo sentesi ya mwanzo sijaiona macho yanauma😎

oooh kwahiyo wew na wenyeji wako ni marastafaliani? wamatengo ni wapi kwanza 🤔
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…