JamiiForums Usiku wa manane

[emoji15] [emoji15] [emoji15] kwani mimi niko katikati?
Jamani mimi ni huyo wa kushoto kwa spika (ambaye nimefumba mdomo)
Kumbe wewe ni sekeretari eehhh, bigi apu sana
 
Utaona kama hutaomba msamaha, utasoma shule na hutomaliza.

Wewe lete kiburi hivyo hivyo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] shule ikishindikana nitaachana nayo...maana kufeli masomo sio kufeli maisha
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] shule ikishindikana nitaachana nayo...maana kufeli masomo sio kufeli maisha
Shauri yako siku hizi watu wanakula na CV hadi harusini
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] naona unataka kutuvurugia uchaguzi sio bure [emoji123] [emoji123]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tanabana matumizi
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tanabana matumizi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] msitubanie vyuma vyetu kwa visingizio vya kubana matumizi hapa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…