Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,190
- 100,813
musoma mjini? pale musoma mjni enzi hizo kulikua na club inaitwa metroplitan kitu kama hicho,full ubabe, nakumbuka fiesta musoma hotel haikuishaHao ni wakurya wa tarime me kipande changu ni musoma
hahaha,ila niwe serious kama kuna nafasi niwekehautaniwi?,, mimi ni bibi 😅
inategemeana na aina ya utani,, ukweli ni kwamba huo mwaka nilikua nishaachishwa ila sikua nimeanza hata chekechea😄Wanasema katikati ya utani ndio Kuna ukweli 🤣🤣🤣🤣🤣
We wakishua ndoo unazingua,namaanisha Fake p alimuita Mtaachana she ndio maana nikaulizakhaaaa kwahiyo hauonagi hata nikimuita "sisy " aaah tajeeer wa goba unazingua😅
najua haupo serioushahaha,ila niwe serious kama kuna nafasi niweke
aaaah uzee ushaanza kunisumbua😄 sikuelewaWe wakishua ndoo unazingua,namaanisha Fake p alimuita Mtaachana she ndio maana nikauliza
Najua Fake p ni mrembo fulani lakini huwezi kumuingia kizembe zembe
niko serious au mtu akiwa serious anakauje?najua haupo serious
Huyo Mzee kwenye dp yako umemtolea wapi😅Kwa hyo unakesha kwenye screen usiku mzima
hakunaga musoma mjini, mara yote ni kijijini tofauti labda ni lamimusoma mjini? pale musoma mjni enzi hizo kulikua na club inaitwa metroplitan kitu kama hicho,full ubabe, nakumbuka fiesta musoma hotel haikuisha
Yupo serious na hakuna kitu utamfanyanajua haupo serious
kumbe mie namwaga mchele,dah, ngoja nikusanye mchele wangu,kuku wasiumalizeanakua tofauti na hamwagi mchele kweny kuku wengi
sikuhizi unanifokea sana kwani mimi ndo nilisababisha uachike😥😔Yupo serious na hakuna kitu utamfanya
kwa ile kusema mbunge wa musoma mjini haipo?hakunaga musoma mjini, mara yote ni kijijini tofauti labda ni lami
😅, Umepotea sana, vipi ile site yako ulitengeneza mbona iliacha kufanya kazi ilitokea niniHuyo Mzee kwenye dp yako umemtolea wapi😅
wanakaribia kuumaliza we endelea kumwaga 😅kumbe mie namwaga mchele,dah, ngoja nikusanye mchele wangu,kuku wasiumalize
dah,acha nikae kimya na pembeni haya mambo hayawanakaribia kuumaliza we endelea kumwaga 😅
ipo wanafanya kuipodoakwa ile kusema mbunge wa musoma mjini haipo?