Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,523
- 29,690
Watu tushapagawa siku hizi,huu uzi una historia ndefu,kwahiyo kila generation ya uzi huu ina tabia zakeMkijiskia tu mnauamsha... Naonaga hata mchana unatrend sometimes ππ
Hatari yaniπWatu tushapagawa siku hizi,huu uzi una historia ndefu,kwahiyo kila generation ya uzi huu ina tabia zake
Sisi wa sasa hivi hatufungwi na wakati, tunaliamsha tu
Sijui next generation watakuja kuufanyaje huu uziπ€£π€£
Nipo hapa nakusubiri
Ana tatizo gani?Intelligent businessman bado hauja recover? ujue nakungoja
Huu ni muda wa kutengeneza watotowote mmeniachia lindo?, na mimi nalisusa
mimi nipowote mmeniachia lindo?, na mimi nalisusa
dah kumbe kuna mtu unamgojea? kudadeki hii preshaIntelligent businessman bado hauja recover? ujue nakungoja
..........ndio umeachiwa jumatatu hiiMkuu Toka mkuu. Weekend tunaendaga mjini πππ
Home gππ weekend inabidi uwe umefungiwa sehemu ...!
ππππ hapan sio kama ulivyo fikiria woiiidah kumbe kuna mtu unamgojea? kudadeki hii presha