Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 13,058
- 25,840
Weee!!!kwenye kumbkumb zangu sijawahi kukuona hebu tupia na mimi nitarudia hizo picha za usichana wangu
Weee!!!kwenye kumbkumb zangu sijawahi kukuona hebu tupia na mimi nitarudia hizo picha za usichana wangu
baba ake kasema nipumzike hayo malori atapanda yeye😅😅😅Safi sana utakuwa umetuheshimisha sana
ila ishu za kupanda malori uache sasa asije ankoli akawa utingo bure
Baaasi!!! Hapo amaefanya jambo.poa aisee, huu ni wakati wa kutafuta soda ya barii usiku wa manane daadekibaba ake kasema nipumzike hayo malori atapanda yeye😅😅😅
Au ya mkopo hiyohivi mnajua mpaka niwashe turbo ndo nawapata, hapa shia ni nini hii simu au?
yaaan acha tu, ni mwendo wa kumuagiza miguu ya samaki akiikosa mi silali😅😅😅Baaasi!!! Hapo amaefanya jambo.poa aisee, huu ni wakati wa kutafuta soda ya barii usiku wa manane daadeki
Au ankol hana mambo mengi
unajua kuniweza dah😆😆😆Au ya mkopo hiyo
Mpole kama mama yake weee huo upole watoka wapi,labda sio win ninaye mjua mimiyaaan acha tu, ni mwendo wa kumuagiza miguu ya samaki akiikosa mi silali😅😅😅
ni kapole kama mama yake🥰
nifanye nini uamini mimi ni mpole😆😆😆Mpole kama mama yake weee huo upole watoka wapi,labda sio win ninaye mjua mimi
Ngoja tumuulize ShesRise_1 eti unaamini huyu Win cha fujo ni mpole?nifanye nini uamini mimi ni mpole😆😆😆
Pamoja sana mkuu lafamilia2236hrs
Usiku mwema watu wa mtaa ya usiku wa manane
Mi mwenyewe simuamini 🤣🤣Ngoja tumuulize ShesRise_1 eti unaamini huyu Win cha fujo ni mpole?
Basi inatosha umesikika,endelea na mambo yako mengine,nilikuitia hili tuMi mwenyewe simuamini 🤣🤣
ShukranBasi inatosha umesikika,endelea na mambo yako mengine,nilikuitia hili tu
Asante
mbona mapema2236hrs
Usiku mwema watu wa mtaa ya usiku wa manane