JamiiForums Usiku wa manane

kunae huyu mlevi hapa anataka kutafutia watu kesi tu,,, yupo kamzungukia mkaka wa watu anataka mayai alf yupo uchi suruali inamshuka kapewa yai kaambiwa haya nenda ni hataki kuondoka sijui anataka nini tena,,, pombe sio chai jamni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…