secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,809
- 50,557
Daddyyπ23:28.
Ndege mdinya a.k.a Deo Ndejembi π
Pole sanaJaman nipo nasafiri naenda moshi haya magari ya esther luxury coach ni kobe kabisa sipandi tena
Kwa kweli ni pole kubwa sana tokea saa 7 mchana mpaka sasaPole sana
Duhh wanatambaaKwa kweli ni pole kubwa sana tokea saa 7 mchana mpaka sasa
Acha kabisa madamDuhh wanatambaa
Ndo makamu wenu huyo ππ23:28.
Ndege mdinya a.k.a Deo Ndejembi π
Hapa hapa mmeanzisha nyuzi kwamba mnataka hard-core asee π€
Anadinywa nnNdo makamu wenu huyo ππ
Yeap ndo makamu huyo mkuu, japo sikuwahi msikia kablaAnadinywa nn
Wameamua kuacahana na wakongwe pasua kichwaYeap ndo makamu huyo mkuu, japo sikuwahi msikia kabla
π€π€β£οΈTiisha mwili na Afya, home g..onelov π«dosho12 utaniagia kwa Ertugrul Bey na kwa sisy Fake P waambie nimepita kuwapa hi ila sijawakuta,,, muwe na wakati mwema nawapenda bureππ» mi nalog out hivyo ππ