Palac
JF-Expert Member
- Mar 29, 2025
- 2,923
- 7,772
Vyote bwashee mke mwema anapatikana kwa bwanaKwahiyo unaenda kusali au kucheki vyuma🤣🤣
Vyote bwashee mke mwema anapatikana kwa bwanaKwahiyo unaenda kusali au kucheki vyuma🤣🤣
Ni vingi ila hichi nacho cha muhimuNdio kinachokupleka kanisani?
Scan code0219 QRA Standby.
Tupo macho! Usingizi hakuna nipo nachat hapaNimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.
Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua KUFANYA IBADA Tuuuu!
0248 Take Cover Senior...!Scan code
Anagomaje sasa 🤣🤣 Kuna switch bado ipo On ..Kagoma kulala,na Mimi nimegoma kumsindikiza
Tuko pamoja, Junior0248 Take Cover Senior...!
Hahahaha, kagoma tu ,Sasa yeye aende tu,mie sisindikizi MTU muda huu 02:51Anagomaje sasa 🤣🤣 Kuna switch bado ipo On ..
0258Hahahaha, kagoma tu ,Sasa yeye aende tu,mie sisindikizi MTU muda huu 02:51