Inaweza kuwa ni halisi iliyo boreshwa na Ai.Huamini kama kuna ukweli hapo?
Mkuu ndugu yakoInasikitisha sana mkuu 😎
Futa baba, na camera imekaa angle, kila kitu kinawezekana!Inaweza kuwa ni halisi iliyo boreshwa na Ai.
Si kwa mng'ao huo aisee.
Hahaha why not 👀Am not watching 😎
AdowantuuHahaha why not 👀
Daaah! Kumbee!Futa baba, na camera imekaa angle, kila kitu kinawezekana!
Ht ww ndugu yangu 😎Mkuu ndugu yako
I think you're just pretendingAdowantuu
Mwendo ni uleule😅Daaah! Kumbee!
Sasa kwa juu yake pata kuwaje kama chini ndio hivyo
Nat reallyI think you're just pretending
Heri kwao aisee,ngoja sie tuishie kuona kwa machoMwendo ni uleule😅
Ni hatua kubwa! Kuna wenzio hawapitwiHeri kwao aisee,ngoja sie tuishie kuona kwa macho
Hata ingekuwa wewe usingepitwaNi hatua kubwa! Kuna wenzio hawapitwi
Sio kweli mkuu.Hata ingekuwa wewe usingepitwa
Sleep well!Usiku mwema kwenu.
Kwahiyo unaenda kusali au kucheki vyuma🤣🤣23:43
Misa ya kwanza ndo inakua na mademu wakali jumapili tujitahidi kuwahi.
Ndio kinachokupleka kanisani?23:43
Misa ya kwanza ndo inakua na mademu wakali jumapili tujitahidi kuwahi.