JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

04:30

1787362190960.jpeg
 
Heka heka zangu nadhan mnazijua.. .. funguo uwe unaweka hapo chini ya dormat tu 🤣🤣

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Hakika wewe ni nabii babaa

Home g unawahi sana na haraka haraka .🤣🤣🤣
na naijua kweli,, nimekusubiri weeee hatimae nikapitiwa

sikuhizi nachoka sana jamni😪 kazi zinanizidia na nilivyo na uvivu ndo usipime😄😄
 
Back
Top Bottom