JamiiForums Usiku wa manane

Hivi sasa ni 00:01 usiku naperuzi JF[emoji41]
 
Halafu hujaniwish kabisa sijui hunitakii mema mwaka huu[emoji4] [emoji4]
Ngoja kwanza mwaka usogee sogee angalau mpaka Septemba, sasa hivi ni mapema mno.....nisije nikakuwish ukachukua na baraka zangu bure [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Zawadi ilikuwa mwaka jana sasa hamna zawadi mwaka huu
Kweli mwaka mpya mambo mapya.
Mwaka huu nahama shule, walimu wangu watakuwa Kichwa Kichafu na HB wa kigogo.

Wewe na Nganengo sio walimu wangu tena. Kwanza mmenifelisha sana mwaka jana...[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…