mara ya mwisho niliambiwa siwezi kujitwika gunia la mahindi si nikasema acha niamini kwenye uwezo wangu aseee sielewi ni nini kilitokea ila nilipozinduka nilijikuta hospital na drip ya glucose juuUsikubali mtu akwambie huwezi jambo fulani,amini katika uwezo wako
Ila walau ulijaribu na hiyo ni spirit nzur,ingawa cha moto ulikiona🤣🤣mara ya mwisho niliambiwa siwezi kujitwika gunia la mahindi si nikasema acha niamini kwenye uwezo wangu aseee sielewi ni nini kilitokea ila nilipozinduka nilijikuta hospital na drip ya glucose juu
😅😅😅 hebu niache naona umenichoka jiraniJe kama wewe ndio mwanamke wa ndoto zake, jamaa anazunguka mitaani akutaftie wigi 😁
achaaaa yani siwezi kurudia tena kujiamlia mambo😅😅 saivi nasikiliza ushauriIla walau ulijaribu na hiyo ni spirit nzur,ingawa cha moto ulikiona🤣🤣
Aisee😂mara ya mwisho niliambiwa siwezi kujitwika gunia la mahindi si nikasema acha niamini kwenye uwezo wangu aseee sielewi ni nini kilitokea ila nilipozinduka nilijikuta hospital na drip ya glucose juu
Ila usisahau kwamba akili za kuambiwa changanya na.....malizia shemegiachaaaa yani siwezi kurudia tena kujiamlia mambo😅😅 saivi nasikiliza ushauri
Naona dawa imeanza kufanya kazi, sikiliza ushauri wangu utakuja kufika mbaliachaaaa yani siwezi kurudia tena kujiamlia mambo😅😅 saivi nasikiliza ushauri
Changanya Na k vant 😁Ila usisahau kwamba akili za kuambiwa changanya na.....malizia shemegi
mi sitamani kufika mbali, nimechoka😅😅 nitaishia hapa hapaNaona dawa imeanza kufanya kazi, sikiliza ushauri wangu utakuja kufika mbali
kati ya maswali nilokua siyapendi enzi za shule mpka leo na haya ya kujaza nafasi zilizo wazi🤣🤣Ila usisahau kwamba akili za kuambiwa changanya na.....malizia shemegi
unabadili location tu kwani unaendesha bodaboda? si saivi tu ulikua hapo njia nne jamn
2323hrsMbagala,rangi tatu
Dakika za jioni utakuja kuhukumbuka huu msemo kwamba "huruma sio malezi"mi sitamani kufika mbali, nimechoka😅😅 nitaishia hapa hapa
huruma ganiDakika za jioni utakuja kuhukumbuka huu msemo kwamba "huruma sio malezi"
Nina boda ya umeme,natest chaji yake inakaa muda gani,itakapo zima nitapanda lorry kama weweunabadili location tu kwani unaendesha bodaboda? si saivi tu ulikua hapo njia nne jamn
hii ujiambie wew, maana wenzako wote wapo wanabembelezana huko bt look at you now upo unakesha poor you😅Love is a beautiful think find someone who really loves you