JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Nilipojiunga jf mtu wa kwanza kunipokea ni mshamba! Na hajawahi kuniangusha enzi hizo sijui machimbo ya jf na vihoja vyake.

Kazi za chuo namtumia anifanyie kwa Pc yake then ananitumia! Sasa fikiria angeamua kuniuza🙌
Ila anavyojikausha utafikiri hajui jina langu la ukoo😂
Hahahaha,ulikua unatumia 🆔 Gani?
 
Ulikua unatumia jina gani?
Mimi nilikua napenda kuchungulia battle ya enzo na intelligent nilikua nacheka vichambo vya enzo anatoa maneno kama mtunzi wa taarabu😂
ilikua na mfanano na hii, winone nikafanya kuimodfy baada ya kunyimwa ile,,, it was so funny kwa kipindi kile😅 sema ndo hivyo mambo hubadilika
 
hii clue nilikuepo pia,, mimi na To yeye tulikua na utani wa kumuita bwana kivuli bby wetu, fake p alikua wizo😅, alf madam urassa ye alikua bestie, Tresor Mandala nilipenda kumuita jirani na vin alikua rafiki,, sijui kukatokea nini mambo yakawa mambo,, bwana shadow ndo hatokei kabisa pande hizi sijui majukumu😄
Katingwa na majukumu

Umeamkaje 🧑
 
Back
Top Bottom