mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,804
Au sio dogo? Sasa umeingia floor ya tatu unajiona mdingimaster.Uzi wangu wa kitambo.... Enzi hizo 2017
Au sio dogo? Sasa umeingia floor ya tatu unajiona mdingimaster.Uzi wangu wa kitambo.... Enzi hizo 2017
si hata wew umemuona yumo😪 alf saivi anasema hayumoWeeee!!!!
asante shem niombee nipate na pesa maana nikiishi miaka mingi bila pesa nitakua kero kwa watu☺️Shem kama shem uishi miaka mia
Ertugrul Bey nakukabidhi kwa win-one 😍😍 mie nipo kando huku nikiwaombeahaumo wakati umo😏,, si ungesubiri yatima wa mapenzi nionje raha mnayo ipata?
Kalale, watu wafupi walale mapema.Nimeikumbuka usiku wa manane ya Fake P Hope urassa To yeye Shadow7 Intelligent businessman Vincenzo Jr Tresor Mandala
Kweli tena ushaliwa mpaka ukalia machozi 😪😅😅😅😅😅 kumbafuuuuuuuuu
Nina usingizi lakini sitaki kuweka simu chiniKalale, watu wafupi walale mapema.
Unamkabidhi mlingoti wangu kwa ruhusa ya nani? Basi chukua nafasi yake.Ertugrul Bey nakukabidhi kwa win-one 😍😍 mie nipo kando huku nikiwaombea
We acha tu,halafu mume alhamdulillah yupo vizur kiuchumi,tamaa hizi mbaya sanaDaah kwahyo aliona mke mkubwa kama anafahidi hivi
🤣🤣 Vijana wameongezewa majukumu...! Au wamenibadilishia Makoti? 🤣🤣🤣 kubabekiiNimeikumbuka usiku wa manane ya Fake P Hope urassa To yeye Shadow7 Intelligent businessman Vincenzo Jr Tresor Mandala
Mtajuana wenyewe mie wewe sikutambui😅 who are you?Unamkabidhi mlingoti wangu kwa ruhusa ya nani? Basi chukua nafasi yake.
Basi simu iache juu wewe nenda chini🤣Nina usingizi lakini sitaki kuweka simu chini
Usiku wa Manane for life nimecopy maneno ya Fake PNimeikumbuka usiku wa manane ya Fake P Hope urassa To yeye Shadow7 Intelligent businessman Vincenzo Jr Tresor Mandala
Subiri nilaleBasi simu iache juu wewe nenda chini🤣
Fake P...🤣🤣 Vijana wameongezewa majukumu...! Au wamenibadilishia Makoti? 🤣🤣🤣 kubabekii
Akinikimbia huyo nahamia kwako. Utake, usitake.Mtajuana wenyewe mie wewe sikutambui😅 who are you?
We jamaa jau 😂Kalale, watu wafupi walale mapema.