Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,559
- 29,766
Shem ujue unaniuzi sasa,kwahiyo unapenda maumivu au ,tumia dawa kikamilifu hiyo ni kwa ustawi wako wewe mwenyewehuwa natumia za hosp sema sifuatishi dose ni mpka niumwe kama hivi ndo nakumbuka dawa, yan sipendi kunywa dawa kabisa
Huyu anatakiwa afungwe kamba wakati wa kunywa dawa,halafu hawa ndio hutupaga dawa chini ya uvunguDah! Unastahili viboko, yani dawa unazo ila hupendi kunywa
Mwisho ya yote kabisaKweli kabisa homie, ukiwa mtu mzuri hata kizazi chako katika namna ya ajabu sana kinafanyiwa mazuri hata wewe ukiwa haupo hapa kwa dunia
Karma is real homie,nimeshuhudia watu walioumiza wenzao kwenye maisha hakika mwisho wao haukuwa mzuri kabisa
Ndio maana kuna msemo unasema malipo hapa hapa duniani na akhera inaenda hesabu tu
Tuwe watu wema hapa duniani
Unajitahidi hivyo hivyo, kwani karaha unayopata kwenye dawa ni sawa na maumivu unayopata madonda yakianza kuchachamaawe hauelewi tu zinavyokaa kooni, yani zinanikaba😪
Baaaaasiiii swadaktaMwisho ya yote kabisa
moyo wenye upendo usiosambaza maumivu kwa wengine ndiyo moyo imara 💪
sitokuudhi tena shem wangu nitafuata ushauri wako😊Shem ujue unaniuzi sasa,kwahiyo unapenda maumivu au ,tumia dawa kikamilifu hiyo ni kwa ustawi wako wewe mwenyewe
hapan jirani,, sema hauwezi kunielewa ni namna gani najiskia😪Unajitahidi hivyo hivyo, kwani karaha unayopata kwenye dawa ni sawa na maumivu unayopata madonda yakianza kuchachamaa
Usipotoa hela kuna mwenzako atatoa tu, yaani huu mchezo ni mbaya...Acha kutoa hela ki faller upunguze malalamiko eboooo!
🤣🤣 ila Win alooooositokuudhi tena shem wangu nitafuata ushauri wako😊
sema udugu wangu she's bwana umepata alooo😅 ShesRise_1
ndo zinini mi sijaelewa😅hizi ana anado hizi...
mmmh.
Mwache atoe si anayo wewe huna ndiyo maana unalalamaUsipotoa hela kuna mwenzako atatoa tu, yaani huu mchezo ni mbaya...
limefanyaje?😅😅 alf usifumbe fumbe macho, bwana unae shoga angu🤣🤣 ila Win alooooo
Hilo neno udugu 🙌
Nimeipenda hii shem 🤣🤣sitokuudhi tena shem wangu nitafuata ushauri wako😊
sema udugu wangu she's bwana umepata alooo😅 ShesRise_1
kwanini shem darling😜Nimeipenda hii shem 🤣🤣
Najua ila hayo ni madonda ni mabaya sana kama yakizidi, hivyo ni bora ujitahidi kuyatibu mapemahapan jirani,, sema hauwezi kunielewa ni namna gani najiskia😪
Baaasiiiiiii 🤣🤣limefanyaje?😅😅 alf usifumbe fumbe macho, bwana unae shoga angu
nimekuelewa nishatupia ka omeprazole na promethazine maana nahisi nausea ya hatariNajua ila hayo ni madonda ni mabaya sana kama yakizidi, hivyo ni bora ujitahidi kuyatibu mapema
sasa uneng'enekeeeeee tushindwe kwenda uturuki aseee nitakunyonga😏🥴Baaasiiiiiii 🤣🤣
Umenifagilia eti mi ni bonge la bwana🤣🤣🤣kwanini shem darling😜