JamiiForums Usiku wa manane

Homie kiukweli sitetei jinsia yangu lakini nyie mko gud sana kwa secrets,na ndio inawafanya muwe wabad sana aisee🤣🤣
Kwa sababu mme tukariri kua sisi ni dhaifu na watu wa hisia sana so hua mnasubiri tu react ndiyo mjue kuna jambo

Kumbe wakati tume react hakuna jambo 🤣
Jambo hua lipo wakati tumetulia tuliiiii
 
Yanakuwaga maigizo haya bro!
 
Kwa sababu mme tukariri kua sisi ni dhaifu na watu wa hisia sana so hua mnasubiri tu react ndiyo mjue kuna jambo

Kumbe wakati tume react hakuna jambo 🤣
Jambo hua lipo wakati tumetulia tuliiiii
Ni sahihi kabisa homie,nakumbuka nishawahi andika hako kakitu sijui humu au somewhere else kwamba, mwanaume ashukuru akisikia mwanamke analalamika na kunung'unika lakini the moment inafika mwanamke halalamiki she seems okay na cool ujue umekwishaaaaaa!!!!!
 
Yanakuwaga maigizo haya bro!
Maigizo yanajulikana,ujue mpaka jamaa sasa amechaguliwa kwenda kushindana China kwa content creater wa Afrika wanao chipukia

Angalia video wewe mwenyewe halafu uniambie kama acts, changanua utajua ukweli uko wapi

Angalia video za kutosha angali body language za wahusika na jinsi wanavyo react utajifunza kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…