Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 13,007
- 25,694
Hapana wana vibe sana hawa warembo,yani wanaendana sana vituko vyao,ucheshi waoKwamba wanaoitana twinnie wameibiana mubaba
Hapana wana vibe sana hawa warembo,yani wanaendana sana vituko vyao,ucheshi waoKwamba wanaoitana twinnie wameibiana mubaba
Hili limeniliza sana 😢😢Bado nipo nipo😂😂😂
Nyie ndiyo mna kipengeleHomie nyie wabaya sana aisee,tunawapenda lakini mna pilipili🤣🤣
Mi hata sikuelewiKwamba wanaoitana twinnie wameibiana mubaba
Sana mi nilikuwa nishanunua na kanzu ya bei kwa ajili ya harusi, nishaweka order ya mchele, dah! sa itakuaje au tumteke tumfungishe ndo kwa lazima nini😁Hili limeniliza sana 😢😢
Aisee network leo inanitesa sana,jamani pole homie, ishu ni kwamba je nitakuwa peke yangu au kuna Dady pembeni 🤣🤣Hili limeniliza sana 😢😢
🤣🤣🤣🤣🤣Sana mi nilikuwa nishanunua na kanzu ya bei kwa ajili ya harusi, nishaweka order ya mchele, dah! sa itakuaje au tumteke tumfungishe ndo kwa lazima nini😁
Mwanaume mkeo au mwenza wako akipokea simu iliyoseviwa Dady hakikisha anaongea mbele yako huenda kuna mengi huyajui
Hapa ndio mtaani kwetu Usiku wa manane, hapa unawakuta akina win-one na pacha wake ShesRise_1 , mshamba_hachekwi Selikavu ,dosho12 ,Fake P na wakitaa wengine kibao tu kama wote .
Kuna jamaa mmoja ana mke wake mwenyewe,wana kama miaka minne ya ndoa,jamaa kafanya mambo mengi sana kwa mkewe,ikiwemo kukopa kiasi kikubwa cha pesa kwa ajili ya kughamia mazishi ya dada yake na mkewe,kuanzia kulipa Bill ya hospital mpaka mazishi,na kupelekea hata gari kuchukuliwa na bank
Guess what? Kumbe mke alikuwa anatoka na rafiki wa mume wake ambaye ni mfanyakazi mwenzake pale Bank . Bidada bila aibu akiwa na mtoto wa mwaka mmoja anachepuka na saa nyingine anachelewa kurudi home kumbe yupo kwa mchepuko wake bwana Charles
Sasa mchepuko kaseviwa Dady,so mume wake akiona dady anapiga basi hagusi simu hata kama mkewe yupo bafuni,akija mkewe anachukua simu na kuenda faragha kuongea na dady. Mume anasema kwakuwa anamuheshimu baba mkwe hivyo humuacha mke awe na faragha aongee na dady yake,kumbe ni mchepuko wake
Guys kiukweli kabisa ukijua mambo ya wanawake unaweza kubadilisha mtazamo wako juu ya hawa viumbe,kuna show moja hapo Kenya inaitwa Comrades flavour ipo YouTube, nakushauri mwanaume ifuatilie hii channel ndio utajua hujui kuhusu wanawake
Heshima kwake Britanicca katika uzi wake mkoja wa hivi karibuni pamoja na mambo mengine aliintroduce hii kitu,aisee nimeangalia kama video 4 au 5 ni moto wa kuotea mbali,kuna mengi ya kujifunza kwenye maisha,na muhudumie mkeo,mwenza wako kadri unavyoweza lakini haupo peke yako,naweza sema asilimia 99.9 wanaume wote tunachapiwa,narudia tena tunachapiwa period
View: https://youtu.be/oKdkDfEmziA?si=9r-sHT1N2wG5mEbk
Sasa wakati huyu mume anahojiwa na mtangazaji ni kwa kiasi gani unamuamini mkeo,akasema namuamini sana,akaulizwa je ikitokea habari tofauti,akasema sidhani kama mwanamke wake yupo hivyo
Anachofanya jamaa anachukua simu ya mume na mke au ya wenza halafu,hata sijui ana utaalamu gani wa kusearch mambo humo,aisee anafuma meseji humo,kama ni simu ya mkeo akishagundua sinto fahamu anamuita mume pembeni na kuzisoma zile texts,kisha wanaenda wote kwa mwanamke,hapo mwanamke anaonyeshwa uchafu wake,anabaki kulialia na kuomba asamehewe.
Basi bwana,jamaa akaonyeshwa meseji za mkewe,hakuamini,kumbe mfanyakazi mwenzake ndio kaseviwa dady, kumbe siku zote hizo,jamaa anamuacha mkewe aongee faragha na dady yake kumbe ni mume mwenzake
Hakikisha mwanaume unaangalia hiyo show,kama huna bando,ukifika ofisini kama mna wifi just download hizo show YouTube kisha utazicheki baadae,ni noma sana aisee
Alamsik!
weee kwani upo single😟Aisee network ilinigomea hatar ,nyie noma sana bwana
Huyu nikumvizia tu ndoa ya mkeka sherehe baadae tupo njee ya muda njoo PMSana mi nilikuwa nishanunua na kanzu ya bei kwa ajili ya harusi, nishaweka order ya mchele, dah! sa itakuaje au tumteke tumfungishe ndo kwa lazima nini😁
Utakua Peke yako homie niamini mimi uwiiiiiiiAisee network leo inanitesa sana,jamani pole homie, ishu ni kwamba je nitakuwa peke yangu au kuna Dady pembeni 🤣🤣
Fact homie, mambo ya kuparangana na kugawana nyumba za serikali sio poa kabisaMe naamini katika kutomlazimisha mtu kufanya kitu fulani...
Nikijua namwambia tu ukwel uende kwa Aman ya Bwana ukapate hitaji lako kwa Aman😃
Mambo fake p,leo umetusurprise sana2302 Loaded
Ushaanza mambo yako🤣🤣weee kwani upo single😟
tafadhari naomba nijibiwe a beg 🙏😀Ushaanza mambo yako🤣🤣
Homie penda sana wewe ujue,una maneno sana wallahHuyu nikumvizia tu ndoa ya mkeka sherehe baadae tupo njee ya muda njoo PM
007 ✔️Homie penda sana wewe ujue,una maneno sana wallah