ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,313
- 41,062
Jinga wewe 😅😅😅Mkuu kiswahili kigumu😃😃na hivi fasihi ni ukoko mwandishi ni kijiko kwangua unavyoweza😃

Fire 🔥huyu 🤔🤣 basi jiandae kuitwa ma mkubwa
Mapema sana mkuu leo😃0307
Gudubaii🤸🏽♂️
Kafiri ananisubiri kwa hamu!Mapema sana mkuu leo😃
Mwanaume mkeo au mwenza wako akipokea simu iliyoseviwa Dady hakikisha anaongea mbele yako huenda kuna mengi huyajui
Hapa ndio mtaani kwetu Usiku wa manane, hapa unawakuta akina win-one na pacha wake ShesRise_1 , mshamba_hachekwi Selikavu ,dosho12 ,Fake P na wakitaa wengine kibao tu kama wote .
Kuna jamaa mmoja ana mke wake mwenyewe,wana kama miaka minne ya ndoa,jamaa kafanya mambo mengi sana kwa mkewe,ikiwemo kukopa kiasi kikubwa cha pesa kwa ajili ya kughamia mazishi ya dada yake na mkewe,kuanzia kulipa Bill ya hospital mpaka mazishi,na kupelekea hata gari kuchukuliwa na bank
Guess what? Kumbe mke alikuwa anatoka na rafiki wa mume wake ambaye ni mfanyakazi mwenzake pale Bank . Bidada bila aibu akiwa na mtoto wa mwaka mmoja anachepuka na saa nyingine anachelewa kurudi home kumbe yupo kwa mchepuko wake bwana Charles
Sasa mchepuko kaseviwa Dady,so mume wake akiona dady anapiga basi hagusi simu hata kama mkewe yupo bafuni,akija mkewe anachukua simu na kuenda faragha kuongea na dady. Mume anasema kwakuwa anamuheshimu baba mkwe hivyo humuacha mke awe na faragha aongee na dady yake,kumbe ni mchepuko wake
Guys kiukweli kabisa ukijua mambo ya wanawake unaweza kubadilisha mtazamo wako juu ya hawa viumbe,kuna show moja hapo Kenya inaitwa Comrades flavour ipo YouTube, nakushauri mwanaume ifuatilie hii channel ndio utajua hujui kuhusu wanawake
Heshima kwake Britanicca katika uzi wake mkoja wa hivi karibuni pamoja na mambo mengine aliintroduce hii kitu,aisee nimeangalia kama video 4 au 5 ni moto wa kuotea mbali,kuna mengi ya kujifunza kwenye maisha,na muhudumie mkeo,mwenza wako kadri unavyoweza lakini haupo peke yako,naweza sema asilimia 99.9 wanaume wote tunachapiwa,narudia tena tunachapiwa period
View: https://youtu.be/oKdkDfEmziA?si=9r-sHT1N2wG5mEbk
Sasa wakati huyu mume anahojiwa na mtangazaji ni kwa kiasi gani unamuamini mkeo,akasema namuamini sana,akaulizwa je ikitokea habari tofauti,akasema sidhani kama mwanamke wake yupo hivyo
Anachofanya jamaa anachukua simu ya mume na mke au ya wenza halafu,hata sijui ana utaalamu gani wa kusearch mambo humo,aisee anafuma meseji humo,kama ni simu ya mkeo akishagundua sinto fahamu anamuita mume pembeni na kuzisoma zile texts,kisha wanaenda wote kwa mwanamke,hapo mwanamke anaonyeshwa uchafu wake,anabaki kulialia na kuomba asamehewe.
Basi bwana,jamaa akaonyeshwa meseji za mkewe,hakuamini,kumbe mfanyakazi mwenzake ndio kaseviwa dady, kumbe siku zote hizo,jamaa anamuacha mkewe aongee faragha na dady yake kumbe ni mume mwenzake
Hakikisha mwanaume unaangalia hiyo show,kama huna bando,ukifika ofisini kama mna wifi just download hizo show YouTube kisha utazicheki baadae,ni noma sana aisee
Alamsik!
Aisee network ilinigomea hatar ,nyie noma sana bwanasa mbona umeanza kututolea siri zetu jamni, kwahiyo mtu asiende nje kutafuta network ya kuongea na dadiiiii😆😆😆😆

Homie nyie wabaya sana aisee,tunawapenda lakini mna pilipili🤣🤣Hapo kwa dady make kwanza nchekee🤣🤣
Kwamba wanaoitana twinnie wameibiana mubabaHapo kwa dady make kwanza nchekee🤣🤣