ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,312
- 41,050
Nafikiria au bwana harusi awe yeye ERTUGRUL BEY ujue mipango ya ndoa tayari mume baado 🫣🫣thanks much ert..... mimi nakupenda sijui huyo she's ☺️
Nafikiria au bwana harusi awe yeye ERTUGRUL BEY ujue mipango ya ndoa tayari mume baado 🫣🫣thanks much ert..... mimi nakupenda sijui huyo she's ☺️
Au wewe ndiyo uwe bwana harusi😅😅Ntakushikia kipochi ukienda clinic 😂😂
eti mtoto anataka hapo🤣🤣🤣🤣🤣🤣 na hapo huwezi kubisha dah😃😃Kheeh
Wasiwasi wako tuu😃
Chuo kuna wadada anafanya Ue na tumbo lake kubwa 😃😃😃 na hata hawazi anafika examination room kachelewa anakuta mtu kaka anamwambia ampishe mtoto anataka hapo😃😃😃unabaki kucheka tuu
Mmh mpaka ufikirie tena!!!! Win hajafikiria yeye amesema ananipenda tuNafikiria au bwana harusi awe yeye ERTUGRUL BEY ujue mipango ya ndoa tayari mume baado 🫣🫣
toba, Kwani bwana harusi hayupo? 😢A
Au wewe ndiyo uwe bwana harusi😅😅
Mpaka wasimamizi wakacheka tuu😃😃😃eti mtoto anataka hapo🤣🤣🤣🤣🤣🤣 na hapo huwezi kubisha dah
Yote sawa tu 😂😂A
Au wewe ndiyo uwe bwana harusi😅😅
khaaa kwahiyo unanichezea 😏Nafikiria au bwana harusi awe yeye ERTUGRUL BEY ujue mipango ya ndoa tayari mume baado 🫣🫣
Unaanza ku compere 😔Mmh mpaka ufikirie tena!!!! Win hajafikiria yeye amesema ananipenda tu
Yupo tayari kakubali😅😅toba, Kwani bwana harusi hayupo? 😢
Hapana babe 😔khaaa kwahiyo unanichezea 😏
Hiyo Kali mipango ya ndoa tayar ila mume hajalikanitoba, Kwani bwana harusi hayupo? 😢
Mbona umekubali haraka au ulikua una ni crush kisiri siri 😅😅😅Yote sawa tu 😂😂
Hapana bwana,to be honest I love you guys sana, mko na vibe sana,wacheshi,yani mkiwepo sehemu amsha amsha inakuwepoUnaanza ku compere 😔
no huzuni walah 🤣Mpaka wasimamizi wakacheka tuu😃😃😃
ujue mi nikahisi ni kwel umeniudhiiiiiiiiiiYupo tayari kakubali😅😅
win-one tunapendwaaaa shost kutoka kwenye moyo wa baba othman 💃💃Hapana bwana,to be honest I love you guys sana, mko na vibe sana,wacheshi,yani mkiwepo sehemu amsha amsha inakuwepo
Am very proud of you ,it's not a joke ni kweli kabisa from my heart
haya tangaza hiyo ndoa hapa nianze kupitisha daftari la mchango 💃💃Hapana babe 😔
I think you know it from code 007Mbona umekubali haraka au ulikua una ni crush kisiri siri 😅😅😅
Kataa ndoa linda afya yako ya akili 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥ujue mi nikahisi ni kwel umeniudhiiiiiiiiii