verify
JF-Expert Member
- Dec 31, 2024
- 1,278
- 3,035
Hahahah u like hit the bottle fr 🍺 ? 😂😂I like the vibe though! Thought u are high wanted to ask u for the codes, so that i could land like thunder over there!🤣
Hahahah u like hit the bottle fr 🍺 ? 😂😂I like the vibe though! Thought u are high wanted to ask u for the codes, so that i could land like thunder over there!🤣
And why not? Thats ma huz💃🏽Hahahah u like hit the bottle fr 🍺 ? 😂😂
haujanimalizia ule umbea wa kuolewa🙃22:17 Blessed 🙌
Husahau 😅😅🙌🙌haujanimalizia ule umbea wa kuolewa🙃
naanzaje ubuyu mtamu kama huo? nimemisi kuvaa ki naijelia yaaan nibane kila kitu🤣🤣Husahau 😅😅🙌🙌
pregnancy test✔️shombo ya vyakula inakera sana
Naolewa shoga nianze kujitia udi kumngoja beib huhuhuhuhuunaanzaje ubuyu mtamu kama huo? nimemisi kuvaa ki naijelia yaaan nibane kila kitu🤣🤣
ilaaaa unapendaga kuniwazia maovu wakati mi hata sifanyagi madhambi😎pregnancy test✔️
wow habari ninazo zitaka sasa,,, shughuli ni lini nianze kuandaaa kibubu💃💃Naolewa shoga nianze kujitia udi kumngoja beib huhuhuhuhuu
Nani kakuambia hayo ni maovu utramuuu unaita uovuu🥹💔ilaaaa unapendaga kuniwazia maovu wakati mi hata sifanyagi madhambi😎
pregnancy test✔️
ni maouvu mi sipendi hivyo vitu💃😜Nani kakuambia hayo ni maovu utramuuu unaita uovuu🥹💔
acheni basi uchawi😀 mbona nimeanza kuhisi na kichefu chefu 😪😪
Mwezi wa 10 shost 💃💃💃wow habari ninazo zitaka sasa,,, shughuli ni lini nianze kuandaaa kibubu💃💃
Puguza maji utie tui mahi🤣ni maouvu mi sipendi hivyo vitu💃😜
Kwisha habari yake 😅😅
😃😃Lisemwalo lipo mkuuacheni basi uchawi😀 mbona nimeanza kuhisi na kichefu chefu 😪😪
cant wait kuwa pembeni yako nikushkie gauni na kifeni☺️Mwezi wa 10 shost 💃💃💃