I know homie zero zero seven 🫡I think you know it from code 007
Ameonaaa🔥🔥🔥mwambie nampenda pia kaka mpole😍
shiyeeeenz sikuamini tena,, jana kabla sijalala si nikakuombea, nahisi malaika walinicheka sana yani dah🤣🤣🤣🤣Kataa ndoa linda afya yako ya akili 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
mmeanza kuongea kilugha gani hiki🤨I think you know it from code 007
Yooooooh una true love kiasi hiki darling wow niombee tu niwe na wakuninaliii ila ndoa no😎shiyeeeenz sikuamini tena,, jana kabla sijalala si nikakuombea, nahisi malaika walinicheka sana yani dah🤣🤣🤣🤣
kama ni kukunanilii tu hapana sikuombei🤭😆 jiombee pekeakoYooooooh una true love kiasi hiki darling wow niombee tu niwe na wakuninaliii ila ndoa no😎
Basi kitaliwa na nyenyere 🥹🥹kama ni kukunanilii tu hapana sikuombei🤭😆 jiombee pekeako
hakiliwi ila kinaiva utamu😜🤭Basi kitaliwa na nyenyere 🥹🥹
Pregnancy test🫃 ✔️🔥huu uvivu sijui unatoka wapi mbona nahisi usingizi jamni wakati sio kawaida yangu😪
Acha kabisa 😃😃no huzuni walah 🤣
Hakichachii🥹🥹hakiliwi ila kinaiva utamu😜🤭
unataka nikwambie ninacho ogopa au unatania? 😜Acha kabisa 😃😃
Sasa mwenzako hata hawazi wewe unaogopa nini sasa😃
Maombi hayaendi bure😃shiyeeeenz sikuamini tena,, jana kabla sijalala si nikakuombea, nahisi malaika walinicheka sana yani dah🤣🤣🤣🤣
hakiwezi sema tu siku akigusisha ka kichwa unaanza kutoa mitetemo kama umepigwa shoti🤭🤭Hakichachii🥹🥹
nilihisi hivyo😆Niliitwa kwenda kufungia kuku na mama😃😃