JamiiForums Usiku wa manane

hapana mkuu sina chama, ingawa napenda kuheshim mamlaka iliyopo.. ingawa wanasema siasa ndizo huamua hatima yetu mimi huwa napendelea kazi na jitihad zangu ziniamlie maisha yangu.
Hii nzuri kweli kweli ,ni kweli siasa ni maisha lakini haitakiwi iingilie mustakabali wa maisha binafsi ya mtu hasa kwenye kuupqmbania mkate wake wa kila siku .

Mimi mwenyewe sina chama pia ,napambana tu mashambani ili watoto wasilale njaa
 
hakika mwamba tupambane tu hakuna namna nyingine.. ila naona kuna code umeiweka hapa mwamba,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…