JamiiForums Usiku wa manane

Sheikh koyoga jau nilipomsimulia kaanza kucheka eti na wewe unaibiwa ? Ananipanga eti siku nyingine nipite kwa fundi viatu upande wa pili kule nimuachie viatu aendelee kubrashi na mimi nivae zile ndala zenye rangi tofauti nizame msikitini
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Mkuu fata mbinu niliyokuambia... Unaweka kimoja huku kingine kule basi hapo unyama.

Mambo ya kwenda kwa fundi NI kuaribu ratiba ya pesa

Sema pole sana aiseee mi nawajua watoto wa hapo wote ningekuepo basi mapema ungepata
 
hapendi ninywe maana huwa nazima kwa flying fish mbili tu๐Ÿคฃ wengine wakinywa wanapata mood ya kuchangamka ila mimi napata usingizi mzito yani mambo inakua taflani

hiyo pesa ya kreti fanya,kunitumia kwa lipa namba๐Ÿ˜œ,,,
Hakika bado mgeni kama ugimbi unakupeleka usingizini haujazoea .

Shida mawakala nawakuta wapi usiku huu ewe mpenda unene ?
 
Nakubali kaka ,ila nitarudi kuvitafuta hata kama mwezi utaisha lazima nivipate japo nilipata fununu kuna mtu walimuona ni kama alivibeba alipanda vile vigari vya kwenda inyala ila naapa nitampata tu
 
Hakika bado mgeni kama ugimbi unakupeleka usingizini haujazoea .

Shida mawakala nawakuta wapi usiku huu ewe mpenda unene ?
kwani huko kwenu saivi ni usiku sana? mbon mi nilipo ndo kwanzaaa mama ntilie washaanza kuchemsha supu na mihogo๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

ndio mimi ni mgeni kabisa enyew nazimua mara moja kwa mwezi tu
 
kwani huko kwenu saivi ni usiku sana? mbon mi nilipo ndo kwanzaaa mama ntilie washaanza kuchemsha supu na mihogo๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

ndio mimi ni mgeni kabisa enyew nazimua mara moja kwa mwezi tu
Ni usiku kiasi chake maana barabara zote ziko tupu ni kelele za hapa nilipo na wapiga ugimbi
 
Nakubali kaka ,ila nitarudi kuvitafuta hata kama mwezi utaisha lazima nivipate japo nilipata fununu kuna mtu walimuona ni kama alivibeba alipanda vile vigari vya kwenda inyala ila naapa nitampata tu
Duuuh we jamaa acha basi...
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Mzee dingi anafanya kazi inyala sasa kama unataka tupigane live humu basi takiwasha na siogopi mtu
 
Niombee niwe hai ,maana dunia inazunguruka hapa nilipo watu nawaona wafupi mno ,eti wanaitana Ami ami yaani nacheka mimi kweli kweli
ni kwamba umekolea ugimbi au?๐Ÿ˜†,, sasa ami ami ndo majina ya wapi yarabi

naona ushaanza kuleta visingizio vya kuwa hai kwan umeskia wapi unataka kutolewa uhai๐Ÿ˜,,
 
ni kwamba umekolea ugimbi au?๐Ÿ˜†,, sasa ami ami ndo majina ya wapi yarabi

naona ushaanza kuleta visingizio vya kuwa hai kwan umeskia wapi unataka kutolewa uhai๐Ÿ˜,,
Relax win ,lazima upate muamala ,wanaitana ami ami sasa mimi nashangaa ya mwanaume kuingia bar na msuli ,yarabi
Inachekesha na kuogopesha
 
Relax win ,lazima upate muamala ,wanaitana ami ami sasa mimi nashangaa ya mwanaume kuingia bar na msuli ,yarabi
Inachekesha na kuogopesha
haya ndo mambo sasa๐Ÿฅฐ ole wako unisaliti nitakususa๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†

sikuhizi wanaita ndo fashion wameend mbali na kusema aibu utaona wew๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ Haya toka hapo uende home ukapumzishe fuvu
 
haya ndo mambo sasa๐Ÿฅฐ ole wako unisaliti nitakususa๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†

sikuhizi wanaita ndo fashion wameend mbali na kusema aibu utaona wew๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ Haya toka hapo uende home ukapumzishe fuvu
Home ? Nina home sasa mwenzio ni hapa hapa kwenye vyumba wanaita vya wageni ,nitalala soon usiwaze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ