Hau-skip ratiba lazma ratiba ya kulala utimize 😂😂mama alikua sahihi ila huwezi amini mi nikizidiwa na majukumu naamua kulala tu maana sina namna kwahiyo naona bora nilale zangu 😅 ila sijawahi kuwa na majukumu makuuuuubwa ya kutisha
lakini ndo unakua sio usingizi mtamu bali usingizi wa huzuni😅Hau-skip ratiba lazma ratiba ya kulala utimize 😂😂
samahani hivi wew na I feel good ni ndugu? naonaga kama mnaelekea kufanana kwenye maandishi pamoja na pic ya avatar01:30 lindo liko shwari
Kama mental illness inasababishwa na kushindwa kulala nadhani soon mimi napelekwa milembe 😄lakini ndo unakua sio usingizi mtamu bali usingizi wa huzuni😅
nitakuja kukusindikiza😎😜Kama mental illness inasababishwa na kushindwa kulala nadhani soon mimi napelekwa milembe 😄
I see slick guy🦉Bado niko macho.
Ulale usingizi mtamu 😊kwaherini nimeanza kuskia paka wanatoa milio ya ajabu
utakuaje mtam wakati nje kuna paka wanalia😪Ulale usingizi mtamu 😊
Itakua vzr Mimi bado Niko nafutilia mkesha kupitia wewe ujuesio nikimaliza mkesha kabisa ili nije kukusimulia yaliyo jili vizuri
Unaogopa milio ya Paka?kwaherini nimeanza kuskia paka wanatoa milio ya ajabu
muongo😀Itakua vzr Mimi bado Niko nafutilia mkesha kupitia wewe ujue
Unaogopa paka?utakuaje mtam wakati nje kuna paka wanalia😪
KWELI KABISAmuongo😀
ndio, mi sipendi milio ya aina yoyote iwe mdudu au mnyama inaudhi mnoUnaogopa milio ya Paka?