ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 21,434
- 49,759
Ungekuwa hapa karibu ningekubutua.you tooš
jeuri hunaUngekuwa hapa karibu ningekubutua.
Marhaba.Nawafatilia kwa ukaribu
Usinione hivi, mimi ni mkali kama pilipili!jeuri huna
hata na hivyo sikuonišUsinione hivi, mimi ni mkali kama pilipili!
Aisee.hata na hivyo sikuoniš
Ngoja niungane na wewe,tuwafuatilie.Nawafatilia kwa ukaribu
Binti ana nyodo huyo.Aisee.
umeniona? šBinti ana nyodo huyo.
Hapo kanipandisha na kunishusha.
Chukua hii šæNgoja niungane na wewe,tuwafuatilie.
Nimekuona.umeniona? š
Hapa tayari nina kaglasi ka gongo na Sigara pori.Chukua hii šæ
Naona mshamba anataka kuchekeshwaš
nishatoka huko uswahilini kitambo usikaliliš saivi nina uzungu ni mwendo wa ku calmNimekuona.
Na umesonya juu.
Kiuno umenishikia.
Na shingo umenizungushia.
Haya niko PM nasubiri, ikifika 1:00 AM nalala zangu.nishatoka huko uswahilini kitambo usikaliliš saivi nina uzungu ni mwendo wa ku calm
Eishsssssss unasubiri nini? we lala bwana tushamalizanaHaya niko PM nasubiri, ikifika 1:00 AM nalala zangu.
Nitaota ndoto mbaya...Eishsssssss unasubiri nini? we lala bwana tushamalizana
kawaida yako bwana aahNitaota ndoto mbaya...
Furaha yetu nikuona hawa watu 2 wakitapeliana kweupe JFHapa tayari nina kaglasi ka gongo na Sigara pori.