JamiiForums Usiku wa manane

hapana sijaenda mimi ni muoga wa hosp,, enyewe nipo najizungusha kunywa ant pain kuanzia mchana,, nikizifikilia nahisi kutapika
Ohoo ok. Hiko anti pain nazo ni za kumeza mara moja then maji ya kutosha na mapumziko mbali na vifaa vya mawasiliano
 
Ok hata mimi kuna kipindi nilikuwa natumia simu kuongea masaa mpaka nasikia kikianza kuzingua natulia kwanza naachana na simu. Inabidi uanze kutafuta replacement kama inawezekana taratibu taratibu 😃😃
asante kwa ushauri ngoja nijitahidi kupunguza ila sidhani kama nitaweza maana ndo faraja yangu namba
 
Nipo macho natafakari mambo ya dunia huku nikikumbukia maisha yangu,huku nikimshukuru Mola wangu kuwa sasa nina 65 huku nikiwa na afya njema,nguvu za kutosha kabisa.Shukrani kwa wazazi wangu ambao wako mbele ya haki,kaka na dada zangu walionilea,waalimu wangu kutokea shule ya msingi hadi vyuo vikuu mbalimbali nilivyopitia afrika,ulaya na marekani,shukrani kwa wake zangu 2 na rafiki zangu wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…